Kitambulisho cha NIDA

Kitambulisho cha NIDA

Mhina Martin

Senior Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
197
Reaction score
256
Habari wadau Kwa watalaamu na wazoefu wa vitengo vya NIDA ufafanuzi kwa namba za NIDA zilizofungiwa hivi karibuni kwa sababu ya mtu kutokwenda kufata kitambulisho chake alipojiandikisha kutokana na sababu mbalimbali kama kuhamishwa kikazi,umbali wa eneo kitambulisho kilipo nk sasa ni hatua gani zinapaswa kufuata ili kuifungua Namba yako ya NIDA upya kwa ajili ya matumizi msaada.
 
umejua vipi kama imefungiwa? Watanganyika acheni uvivu wa kufikiri basi
 
Unataka kutapeliwa kijinga sana, kitambulisho hakiwezi kufungiwa kwa sababu hauja kifuata, hell no!
 
Jamii Forums ilikua ni mkombozi wa mambo yote. Lakini kwa sasa imegeuka kituko baada ya kuvamiwa na wajinga
 
Mleta Uzi unafikiri hii Nchi kila taasisi imeoza ,Big NO.

Hii hutokea pale muhusika anapokuwa hana sifa za kupata NIDA, na kuamua kufanya ujanjaujanja ie mkimbizi , muhamiaji harumu,

Na hii issue haijanza Leo, ni tokea NIDA imeanzishwa , imeweza kuwabaini wadanganyifu kama wewe na ku cancel NIDA number zao.

Haha mkuu sababu ulizizitoa ni za uongo,

Usiogope Nenda ofisi za NIDA , watakuhudumia kwa ukarimu sana 😂
 
Nlikuwa na shida ya fingerprint...kama mwezi hiv nkaenda kufanya fingerprint switching ..ila mpk leo sijapata feedback...naomba kujua kama kuna aliekuwa na shida kama yangu ..vp alifanikiwa kupata namba?na kama amepata ilimchukua muda gani..
 
Kwangu sijui itakavyokuwa ,maana tangu nilivyojiandikisha na nikapata NIDA No.

Sikukaa sana nikapa mchongo Ujerumani hadi leo sijakanyaga tena Bongo .

Nawaza hivi nikimtuma Wife au mdogo wangu, wanaweza wakampatia?
 
Back
Top Bottom