Punguza wanga,
Avoid cold and sugar drinks.
Kunywa maji mengi hasa ya uvuguvugu.
Kunywa maji moto mix na mdalasini na asali kila asubuhi.
Nenda gym, workout sana.
Nb: Sliming tea pia helps ..ila ujiandae kuhara..hiyo ni shortcut nzuri,ila mazoezi na lishe ndo the BEST!!