Kitakachotokea kesho bungeni

Huu ni mtizamo mmoja ... alternative. ?

Narudia,hii ni conspiracy ya watawala.

Tusisumbuke labda wabunge wakomae kwa kumtishi Spika(kura ya kutokuwa na imani nae) vinginevyo hili ni changa la macho.
 
yaani nitakavyo lia kwa uchungu, kama wasipojadili ni mimi na nafsi yangu tu,
 
CC: kasenene

Nimesoma comment yako kwenye uzi fulani basi nikaona si vibaya nawe usome hii thread yangu.

Tuna safari ndefu sana watanzania.
 
Last edited by a moderator:
Duu kweli ulisoma alama za nyakati mwee, hata hiyo jioni sijui
 

wewe jamaa kama umeota vile,wamefanya kama ulivyosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…