hapo penye red vipi tena mkuu!
Hama nchi kama Huna Imani na chi yako
Kesho kuna tick tucker zitachezwa nyie subirini muone
mkuu tumeshapigwa.mchanga wa macho. ccm ni wahuni.kesho utayastaabia ya musa.na hikitokea ni bora wabunge wapige kura ya kumwondoa spika.maana hili jambo limevutwa vutwa sana kwa malengo mahususi ya kucheza mchezo uliochezwa leo mahakamani.hili kuwalinda wezi.huku maospital hakuna madawa.
hayo ni majibu ya mtu mjinga,mpu.mbavu na asiye na uelewa wowote kichwani. Kwa jibu jepesi ni kwamba mavi yanathamani kubwa kuliko wewe maana hufaa hata kurutubisha mimea. Lakini wewe ni shiiiiiida!
Nami nataka niuone huo ujasiri wa bunge hata baada ya kupewa hayo maamuzi ya mahakama kuu kuendelea na majadiliano ya acc. ya escrow. Nakubaliana na wachangiaji waliosema hii ilikuwa njia ya kuwafariji au kuwapoza wabunge. Pia uelewe zoezi hili likiendeshwa kwa kichwa ngumu tu madhara yanaweza kuwa makubwa kuliko mafanikio. Kwa kuwa bunge likiamua kuwawajibisha wahusika wanaweza kukimbilia mahakamani kwa madai wamewajibishwa isivyo halali na mahakama kuwapa haki. Hata hivyo ikiamuliwa washtakiwe ili pengine wafungwe au warudishe hela zilizoibiwa bado itabidi wafunguliwe kesi mahakamani na itaonekana wameonewa kwani lilishakuwepo zuio kabla ya kuwajibishwa kwao na tayari umeshajengwa uhusiano m-baya baina ya hii mihimili miwili. Mshindi hapo ni waziri mkuu ambae alishatoa tahadhari kwa bunge. Tusubiri tuone na kesho Makinda atakacha hicho kiti chake.
Naomba niseme tu kuwa sina imani hata kidogo na uongozi wa mihimili yote mitatu ya dola .
Hama nchi kama Huna Imani na chi yako
ushauri;makamanda kama kawaida ukawa naomba kama spika atazima hoja hii madhubuti dawa ni kutoka bungeni na mje kwa wananchi zungukeni nchi nzima kuwaelimisha watu kuhusu escrow na kuwaambia wananchi waizike ccm rasmi uchaguzi serikali za mitaa wametuchosha ccm
Salary slip na wewe si ndiyo kijani mwezangu siku zote unapinga hata jambo la kweli?
Salary slip na wewe si ndiyo kijani mwezangu siku zote unapinga hata jambo la kweli?