mkuu sio hisia zangu, nakwambia nimedokezwa na kada mmoja wa chama, na hilo (la kuanguka) ni mojawapo la mbinu nyingi walizopanga za kuahirisha uchaguzi, wanachosema wanataka uchaguzi ukihahirishwe ili wapate muda wa kurudisha kampeni zote kwenye chama na zisimamiwe na chama (ccm), kwa maana sasa inaonekana chama hakina nguvu (akijashiriki vizuri) kwenye kampeni hizi (ilikuwa ni jk pekeyake bila chama), nguvu itakayotumika ni kuhahirisha uchaguzi mpaka january na kisha muda wa kampeni utaongezwa ili ccm na jk wapate nguvu mpya