Kitakachomuokoa Mwamunyange ni Hussein Mwinyi

stop talking nonsense! l wish your not a tz.............!

Nafikiri hiyo siyo nonsense, fikiria kwa kina zaidi utagundua ana maana gani....fuatilia kwa makini kabla na baada ya serikali ya awamu hii.Kuna ahadi nyingi sana kwenye serikali hii....Think and try to understand the fellow. Thank you for comments. Tuwape pole waathirika wote na Tumwombe Mungu atupe nguvu za Kuwasaidia kwa njia moja au nyingine.
 
Nahisi kama hujielewi, wote wanatakiwa wa achiengazi, na wawajibishwe kisheria!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom