technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Kitakachombeba Tundu Lissu mwaka huu ni yeye Kama mgombea kuuzika as personal yaani anakibeba chama
Kingine ni yeye kuja na slogan ya Kipekee kabisa toka kuanzishwa kwa vyama vingi ya uhuru, Haki na Maendeleo.
CCM ya Magufuli kutokuwa na slogan kwa Mara ya kwanza toka tupate uhuru.
Mwalimu Nyerere alikuwa na slogan ya Uhuru na umoja, Uhuru na madeleo,
Akaja pia na slogan ya maadui watatu Yaani ujinga maradhi na umasikini.
Mwinyi alikuja na Ruksa
Mkapa akaja na ubinafisishaji, uwekezaji na Serikali ya viwango
Kikwete akaja na Maisha Bora kwa kila mtanzania
Pia kilimo kwanza
Sasa hapa kazi imefeli hana slogan anaenda enda tu hawapi wanachi matumaini .
Anguko la Magufuli lipo wazi uchaguzi huu ni kiongozi hasiye na dira kwa taifa lake.