kitakacho mpa ushindi lowasa hiki apa

moesy

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
3,555
Reaction score
3,539
Ndugu wa jf,siku zote ushindi wa ccm unachangiwa na wapiga Kura toka vijijini,lakini kwasasa upepo umebadilika. Watu wengi vijijini watamchangua lowasa wakijua bado yupo ccm, yaani hawajui kuwa lowasa ameshahama. nimejaribu kuprint picha Za lowasa na magufuri, yaani kila unayemuuliza utamchagua nani wanakuonesha picha ya lowasa. Cha ajabu pia wengi wao hata magufuri hawamjui... Pia nywele nyeupe,ie mvi watu wengi uku vijijini wenye uelewa mdogo wanasema lowasa ni mtoto wa NYERERE, sababu ya kumpigia Kura. 1nb huu no utafiti usio rasmi nimrufanya kwa zaidi ya wiki 2,vijiji13,watu 456.
 
 
Labda viji vya huko kwenu, lakini wananchi wengi wanaelewa sana, na wapo kimya kwa kuwasikiliza majukwaani, hizi kelele ni za Jf, wanadhani wapo wengi sana.
 
Labda viji vya huko kwenu, lakini wananchi wengi wanaelewa sana, na wapo kimya kwa kuwasikiliza majukwaani, hizi kelele ni za Jf, wanadhani wapo wengi sana.
Ni kweli watu wengi wanaoelewa wajo vijijini. Kwa walio mjini wengi ni watu wa tamaa ya maisha bora bila ya kuyatafuta maisha hayo. Watu wa kijijini ukiwaambia lowasa ni fisadi na wakaona bunge lao limemchachafwa hadi akamwaga manyanga wataendelea kuamini hivo. Siyo hawa watu wanaojidai kuwa mjini wakati hawastahiki hata kuwa huko mjini. Wakiambiwa lowasa mwizi wataandamana kumtaka awarudishie alichowaibia, wakikutana naye wakati wanaandamana na akawanunulia maji wanamwomba aongoze maandamano na lengo la maandamano linabadilishwa.
 
 
Mgombea wa upinzani mwaka huu, kwa huku vijijini ni maarufu kuliko wa chama tawala.
 
Watu wa vijijini tupo mjini siku hizi kijijini tumeacha mashamba tu.
 
Mgombea wetu lowasa ni landmark, ana unique features zisizofutika, zisizohamishika mtu akiangalia nywele tu kashaweka tiki yaan mtakojoa mwaka huu.
 
Safi sana tuzuie tu bao la mkono ndo kilichobaki
 
Mwaka huu bao la mkono hakuna,team lowassa wanamaintelgensia watakaodhibiti mabao hayo,mwaka huu yataishia bafuni tuuuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…