Kitachompata Iran, kitaweka Historia

Vita ni gharama. Vita ni pesa. Vita ni hasara.

Marekani kuanzisha vita kama vile ya Iraq hawezi miaka hii chini ya mfanyabiashara Trump. Zaidi zaidi akijitahidi atarusha makombora yake kutokea mbali. Hawezi muingilia muIran kwake wala kumsogelea.
 
Jidanganye tu
 
Kwa nini unasema visima vya Saudia
vimeshambuliwa na Iran wakati Houthis
wamekiri ni wao. Jaribu kufatilia source
tofauti tofauti za habari. Main stream media
wanapotosha sana kwa maslahi wanayojua
wao
Ni iran bwana usibishe ndugu habari zimezagaa kila kona ndugu
 
Wabongo bana mshapata pande za kushabikia..

Ombeni hii Vita isitokee ,kiuchumi itayumbisha mataifa mengi hasa kwenye suala la Mafuta na kupanda kwa Bei ya huduma na Bidhaa mbali mbali..

Vipi Serikali yetu imejipanga kwa hilo suala...?
 
Tumesha wambia acheni kujifanya mna akili kuliko viongozi wa marekani.
 
Kwa nini unasema visima vya Saudia vimeshambuliwa na Iran wakati Houthis wamekiri ni wao. Jaribu kufatilia source tofauti tofauti za habari. Main stream media wanapotosha sana kwa maslahi wanayojua wao
Wanasema makombora hayo kama yangekuwa yamerushwa na Houthis kutoka Yemeni basi mitambo ya SAUD ARABIA ya kuzuia makombora ingeyadhibiti kwa vile mitambo hiyo imeelekezwa upande wa Yemen. Lakini mitambo hiyo haikuweza kuyaona makombora hayo kwa vile yalirushwa toka upande mwingeni ambao ni wa Iran! Ytu masikio!
 
IRAN wameishindwa ndugu kuna air defence nzuri ya RUSSIA back up ya PUTIN , hata SAUDIA wenyenye wameomba URUSI na wao wauziwe hiyo air defence,anayechochea mgogoro wa iran ni Israel,israel anaweka figisu sana iran asifanye biashara ya mafuta kwa uhuru ndio maana kamshawishi Trump ajitoe ktk mkataba wa Nuclear, Iran wanachofanya ni kutibua ukanda mzima wa mafuta kuanzi njia ya usafirishaji anattega mabomu meli za mafuta zinalipuliwa na kutekwa pia,mafuta iran anauza kwa black market kwa RUSSIA ndio maana Meli iliyokamatwa baada ya kuachiwa ilienda kupiga nanga bandari ya tartus karibu kabisa na russia navy base iliyopo syria
 
Hizi siasa za mafuta ni complicated sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…