The only thing US under Trump can do for now is increasing sanctions and already started threatening to do so. NOTE my word fir future ref.USA is superpower country with all kind of lethal weapons under the sun, you can't make comparison with Iran!
Chunga vita sio lelemama ni shughuli!
Kila siku wanaishia kupiga biti tu, si wafanye kweli kama wanaweza? Wameweka mavikwazo ya kuzidi na bado nyuklia wanatumia kama kawaida na hawatishiki. Iran anajiamini na anachofanya. USA wanatafuta wamefyata saizi wanaishia kujipendekeza kwa waarabu kumtuhumu Iran.Akipigwa mtakuja kusema ooh USA wakorofi,endeleeni kuwapump Iran wajidai wako fit Kama jiwe,then Wale kipigo cha mbwa koko Kama Nagasaki,wajapani waliposanda.
Mambo yanaendaje hapo tehran iran mkuu wanguJifarijini.Marekani ni mchumba tu kwa Iran sijui wewe upo Dunia gani.Au bado unaziamini propaganda za Mmarekani katika ulimwengu huu?
Mkuu:
Ni vyema turejee ktk historia. Hivi Marekani ktk vita zote alizowahi kupigana nje ya nchi yake ni ipi aliyoshinda? (Anza na mfano wa Vietnam,Somalia nk..,).
Mikwara ya marekani, ile meli wamerekani walitaka kuikamata adrian darya 1, ilienda ikatia nanga syria na kupumzika hapo kisha kuelekea Mediterranean na hamna aliyeigusa pamoja na vitisho vyote vya us...us walaini sana kwa mhajemi
Kwahiyo unadhani us anaweza kumpiga iran kama wewe unavyomchapa mdogo wako hapo kwenu?its a big men fight mzee, hamna mwenye uhakika wa kuchomoka hapo
Let be serious
Iran haiwez mpiga mmarekani lakin iran ina weza mumiza mmarekan na washirika wake..
Lakin sio kumshinda mmarekan kwenye vita
Mi naamin hawa wairan watakuwana silaha za nyukilia.. Ndio kinacho wapa kiburi
Wanajua mmarekan aki wa attack nao wata mrushia mabomu kwake na Saudi arabia
Ila in long run Iran ha stend a chance kwa Mmarekani
Kuhusu Urusi na China hawa ni wababaishaji.. Wanajua
Gharama za vita ndio maana hawataki jiingiza kwenye
Vita.. Watapiga porojo tu ila vita ikianza watakuwa mbali
Mmbabe ni Mjeruman siku akipata kiongoz kichwa maji dunian
Hakuta kuwa na amani
Vita ya kwanza na ya pili ya Dunia ni mjeruman, huyu ndio kichwa maji akiamua
Kufanya anafanya.....
Kila siku wanaishia kupiga biti tu, si wafanye kweli kama wanaweza? Wameweka mavikwazo ya kuzidi na bado nyuklia wanatumia kama kawaida na hawatishiki. Iran anajiamini na anachofanya. USA wanatafuta wamefyata saizi wanaishia kujipendekeza kwa waarabu kumtuhumu Iran.
Watu sijuwi kwa nini wana fananisha Libya na Iraq na iran technology hawajuwi kuwa Iran ipo masafa mengine kabisa!
Iraq(sadam) alikuwa mshirika wa muda mrefu sana wa USA kivita ,hivyo USA alimjuwa vizuri Iraq, lakini siyo kwa Iran , Angalia tuu hapo Syria mambo yalivyo!Mlisema hivi hivi 2003 wakati iraq inachapwa mara mstari mwekundu mara makombora matokeo yake yule mzee kajificha kwenye shimo nchini kwake.Hakuna taifa kwa sasa linaweza kupigana na USA.Jifariji tu
Marekani wa enzi za George Bush sio Marekani wa DT. USA akithubutu kupeleka pua yake Iran ndio utakuwa mwisho wake.
Mkuu kwa hali ilivo Trump can do NOTHING juu ya Iran.Leo nimeona Trump karudisha sanctions dhidi ya Iran. Na pia Saudi baada ya visima vyao vya mafuta kushambuliwa na Iran majuzi tu, wameamua kutengeneza press conference kabisa na ushahidi. Kwa wenye uelewa hapa tunajua kwamba Iran anatengenezwa justification ya military attack ili akivamiwa dunia isilalamike. Yetu macho.......
Unaifananisha Iran na Nchi Gani?Hakuna kitu Irani hana lolote hata nyukria yake bado sana ni kama chogo
Jaribuni kutafuta uelewa,swala la kumpiga Iran litaamliwa n'a UNSc kwa mujibu wa ibara za 39,41,42 na 51 za mkataba wa UN.Kanuni za anticipatory and mutual self defense zitatumika kukishakuwa na justification ya Iran kucommit the fact.Mpaka hapo Russia na China watakuwa sanasana wanatoa maneno tu lakini hawatajihusisha na kipigo cha Iran.yaani wakitaka wakipate kilichomtoa kanga manyoya wathubutu ku wage war against Iran
kuna wadau wanamtamani marekani wamdunde ila bado nao hawajapata sababu....