Mkuu unaota au?china na Russia combined hawafikii military bases za USA,ndege za kijeshi,ikiwa ni pamoja na bajeti ya jeshi na hata satellites za jeshi wameachwa mbali sana.Russia na China wame balance nguvu ya Marekani kijeshi na kiuchumi
Mbona wahusika wamesha jisemaLeo nimeona Trump karudisha sanctions dhidi ya Iran. Na pia Saudi baada ya visima vyao vya mafuta kushambuliwa na Iran majuzi tu, wameamua kutengeneza press conference kabisa na ushahidi. Kwa wenye uelewa hapa tunajua kwamba Iran anatengenezwa justification ya military attack ili akivamiwa dunia isilalamike. Yetu macho.......
Hii imenikumbusha enzi zile za Ghaddaff watu walikuwa wanachangia kwamba akiingia kijeshi kwa Ghaddaff washirika wao Russia na China wataingilia lakini yalivyokuja tokea mpaka leo ni historia mzeee baba akakamatwa kwy mtaro wakampa kipigo cha paka mwizi. Kama naona Ayatollahs Khomeini yakimkuta ya sddam HusseinTrump siyo mpenzi wa vita!
Kabisa... Wale ni biashara ile...Hata Saddam Hussein alikuwa na backup ya Mrusi na Mchina lakini mwisho wake uliishia kuchomolewa kwenye mahandaki.
Wa Soudia..wabaya sana..Nimeona leo live Aljazeera na CNN......Saudi wameandaa press conference ya kama lisaa limoja wakionesha ushahidi kwamba Iran inahusika!
Huyo mmarekani ..hiyo tec na maendeleo yake yote ni kazi ya Yahudi na Mjerumani!M
Myahudi anakitu gani ambacho Irani au Urusi hana? Wayahudi wanasumbuka sana na Iran,wanaua wanasayansi wa Irani lakini Irani emesonga.Huwa mnawakuza sana wayahudi hali nao huiba teknolojia marekani na ulaya.Teknolojia kubwa zote zimegunduliwa ulaya na marekani llkisha islae hukopi.Islaeli wangekuwa na akili sana kuliko mataifa mengine kwa nini teknolojia ya 5G isianzishwe na wao huko Islaeli na badala yake inazinduliwa na wachina.Mnasifia sana Islaeli hali Hamna mnachotumia kinachozalishwa Islaeli.Islaeli huiba teknolojia kama mataifa mengine yavyofanya,hawana ambacho wengine hawana.Wanapsmbana na halo yao kama wanavyopambana wajerumani nk. Waislaeli wangekuwa na teknolojia za kutisha Hitler asingewaua kama kumbikumbi.
Ok. Kinachomfanya Marekani hasite site kumshambulia Iran ni nini ?Mkuu unaota au?china na Russia combined hawafikii military bases za USA,ndege za kijeshi,ikiwa ni pamoja na bajeti ya jeshi na hata satellites za jeshi wameachwa mbali sana.
Ukija kiuchumi ndio kabisa hapo ukijumlisha uchumi wa china na Russia bado hawafiki kwa USA,maana uchumi wa Russia tu umepitwa na Jimbo moja tu la USA California.
Mkuu karudie kusoma au kusikiliza ulipopatia hizo habari za uzushi,
World super power ni USA na si vinginevyo.
Marekani wa enzi za George Bush sio Marekani wa DT. USA akithubutu kupeleka pua yake Iran ndio utakuwa mwisho wake.
Nani kakudanganya, marekani ni super power tuombe tu Mungu wasiipige Iran maana amani na utulivu wa eneo hilo vitapotea
Mara ngapi marekani na washirika wake wameenda kuwapiga Iraq, Libya na hata Yugoslavia hao uliowataja CHINA NA RUSSIA waliingilia????Wamguse waone..
Iran ana backup ya Mrusi na Mchina ambao ni bitter rivals wa marekani
Mkuu:
Ni vyema turejee ktk historia. Hivi Marekani ktk vita zote alizowahi kupigana nje ya nchi yake ni ipi aliyoshinda? (Anza na mfano wa Vietnam,Somalia nk..,).
Hao ma ayatollahs, na mullars watapata wana chokitafuta, na kile hawajui ni ya kuwa wayahudi (israel) wako na lama zote za kutumika kuwashambulia dakika yeyote, kweli mkuu yetu ni macho tu hapa
Mara ngapi marekani na washirika wake wameenda kuwapiga Iraq, Libya na hata Yugoslavia hao uliowataja CHINA NA RUSSIA waliingilia????
Je unafahamu WARSAW PACT ???? Je, unafahamu kuwa Yugoslavia na Russia ni washirika wamoja (yaani wala hamini)??? warusi walikuwa wapi wakt ule Yugoslavia ikipigwa kipigo cha mbwa mwitu?
Leo hii Eti America akimpiga Iran eti Watusi na wachina wataingilia. Kamwe haitatokea hao ni watu wa mdomo tu, utasikia tu wakilalamika.
America ni super power hao wote uliowataja wamewekewa vikwazo na America, yaani Russia & China. Jiulize mbona hao hawawezi kumwekea vikwazo America????
Watu sijuwi kwa nini wana fananisha Libya na Iraq na iran technology hawajuwi kuwa Iran ipo masafa mengine kabisa!Kwahiyo unadhani us anaweza kumpiga iran kama wewe unavyomchapa mdogo wako hapo kwenu?its a big men fight mzee, hamna mwenye uhakika wa kuchomoka hapo
Usisahau pia Drone iliyotunguliwa:USAdrone: USA
nuclear bomb : USA
USS tommahk : USA
F35:USA
B52:USA
what do you want? ??