Maaana ya kushinda ndio nn? Mfano Japanese mpaka wanapigwa nyuklia alishinda nani, libya mpaka Gaddaff anakufa alishinda nani?, Iraq mpaka anakufa Saddam kwa kunyongwa alishinda nani?, Afghanistan mpaka Osama anakufa kashinda nani?, Urussi anawekewa vikwazo vya kiuchumi mpaka uchumi wake unashindwa tanuka nani kashinda vita ya kiuchumi, China anabananishwa na Huwaei na anasanda mpaka projects 5G haijulikaniki tena nani mshindi,Mkuu:
Ni vyema turejee ktk historia. Hivi Marekani ktk vita zote alizowahi kupigana nje ya nchi yake ni ipi aliyoshinda? (Anza na mfano wa Vietnam,Somalia nk..,).
Ya miguu amigoUnaumwa degedege ya mdomomo au vidole wewe
Ss hv wanaupenda waghadafi ama wa haftar ?!Ukweli ndio ni kama wananchi wa Libya walivyokuwa hawapendi utawala wa Muammary Ghadaff
JAPAN Alishinda US Project Ya 5G pengne huijui ww 2 mkuuMaaana ya kushinda ndio nn? Mfano Japanese mpaka wanapigwa nyuklia alishinda nani, libya mpaka Gaddaff anakufa alishinda nani?, Iraq mpaka anakufa Saddam kwa kunyongwa alishinda nani?, Afghanistan mpaka Osama anakufa kashinda nani?, Urussi anawekewa vikwazo vya kiuchumi mpaka uchumi wake unashindwa tanuka nani kashinda vita ya kiuchumi, China anabananishwa na Huwaei na anasanda mpaka projects 5G haijulikaniki tena nani mshindi,
Ugali Maharagwe umeharibu akili za watanzania
Mkuu unajivuruga.kuwa makini na taarifa unazopitia mitandaoni na hata unazosoma kutoka kwenye vitabu, kuna alot of disinformation.
Ni sawa sawa na upotofu uliotapakaa mitandaoni kwamba machafuko yasiyoisha hapo harabuni yanasababishwa na mambo ya imani, tena ukristo na uislam.
ukifuatilia hata misingi ya wachangiaji wengi hapa jf juu ya mambo ya hapo arabia yamejikita kwenye imani zao, kitu ambacho ni upotofu mkubwa sana.
Kuhusu ugomvi ni Marais.
US na marafiki zake, hawatalala hata siku moja wamuachie mtu yeyote yule hata mzawa wa hayo mataifa yenye mafuta afikirie sawasawa. wao wanaamini kabisa kabisa yale mafuta ni yao, sababu waligundua uwepo wake wao.
Rais yeyote atakayejaribu kuweka kauzibe kwenye namna wanajifaidisha na mafuta hayo atasababisha raia wake wapoteze maisha kama atang'ang'ania madarakani.hawana ugomvi na hayo mataifa wanayatolea udenda.
Bro toka 1979 US alikua ana mpango wa regime change pale Iran,kivipi amsaidie Iran dhidi ya Iraq ??!!Interests za USA Iraq nyakati hizo zilikuwa ni kuzuia expansion ya Soviet Union, wamarekani hawakuwa na interest ingine pale sababu hata mafuta tu walikuwa nayo kidogo sana.
Kumbuka baada tu ya vita na Iran ndio Sadamu alienda kushambulia Kuwait, Sadam alikwenda kuwait kujitwalia maeneo yenye mafuta sababu baada ya vita na iran uchumi wake ulikuwa umedorola sana na namna pekee aliona ya kuimarisha uchumi wake ni kupata mafuta, yanapatikana wapi harakaharaka, Kuwait, akaenda.
Na kwasababu Iraq haikuwa na umuhimu mkubwa sana wakati huo kwa marekani, ndio maana wakafurushwa vibaya sana kutoka Kuwait. hivyo kusema marekani alikuwa upande wa Iraq wakati wa vita.
Actually, kwa namna fulani kwenye vita ile marekani alikuwa anataka iraq ashindwe ili soviet union ionekane ya hovyo tu, japo alikuwa na interests zingine za kukomboa mateka wake.
Nyote wawili mnajidanganya mnaropoka vilivyo.Ukweli ndio ni kama wananchi wa Libya walivyokuwa hawapendi utawala wa Muammary Ghadaff
Mkuu ebu tuliza mori.Maaana ya kushinda ndio nn? Mfano Japanese mpaka wanapigwa nyuklia alishinda nani, libya mpaka Gaddaff anakufa alishinda nani?, Iraq mpaka anakufa Saddam kwa kunyongwa alishinda nani?, Afghanistan mpaka Osama anakufa kashinda nani?, Urussi anawekewa vikwazo vya kiuchumi mpaka uchumi wake unashindwa tanuka nani kashinda vita ya kiuchumi, China anabananishwa na Huwaei na anasanda mpaka projects 5G haijulikaniki tena nani mshindi,
Ugali Maharagwe umeharibu akili za watanzania
Kwani uvamizi wa Iraq ulikuwa na intention ya Regime change pale Iran?Bro toka 1979 US alikua ana mpango wa regime change pale Iran,kivipi amsaidie Iran dhidi ya Iraq ??!!
Marekani anaugomvi na Jordan? ana ugomvi na Oman? ana ugomvi na Iraq leo baada ya kuondoka Saddam? Ana ugomvi na Misri? au Yemeni amewahi kuwa na ugomvi nao? Saudi Arabia je? Au KuwaitMkuu unajivuruga.
Mimi siendi huko uliko ww.
Na ninafaham nn chanzo cha machafuko hapo Arabuni.
Unapokua na chuki na mtawala wa taifa obviously kaka una chuki na taifa zima.
Kwasababu kiongozi anayetenda haki ambayo US na allies hawaipendi kwa raia wake lazima raia watakua wanampenda huyo kiongozi .
Mathalan Hassan Rouhani kwa jinsi anavyosimamia Iran wananchi wanampenda na kumuunga mkono rais wao,ikitokea US anamchukia Rouhani raia watasimama na vivyo hvyo ilivyo kwa US anachukia arab race nzima.
Ukienda tu kinyume naye anateketeza kila kitu.
Makomandoo wanane walifariki baada ya helcopter kugongana na dege lilikuwa likitumia kwenye operation hiyo kufanya refuelingMwaka 1979,mapinduzi ya iran yalimtoa shah,ambae alikuwa rais kibaraka wa marekani na nchi za magharibi,
iran ikataifisha visima vya mafuta kutoka kwa makampuni ya magharibi,wazungu hawakupenda na wakawa na kinyongo,
Iran ilipoona marekani bado anaunga mkono utawala wa shah,wanamapinduzi waliuteka ubalozi wa marekani nchini iran,
Ndani walikuwemo wamarekani 52,wakawa mateka,
wakati huo rais wa marekani alikuwa jimmy carter,
baada ya juhudi za kuitaka iran iwaachie mateka wa marekani kugoma,marekani walituma timu ya makomandoo toka katika kikosi cha GREEN BERET ili kwenda kuwaokoa mateka katika operation ilijulikana kama OPERATION EAGLE CLAW,
yaani operation makucha ya Tai,
tai kama ilivyo Twiga hapa kwetu ni nembo ya marekani,
ile operation ikafail na ilipatikana hasara kubwa sina kumbukumbu marekani walipoteza makomandoo kiasi gani
Mkuu.Marekani anaugomvi na Jordan? ana ugomvi na Oman? ana ugomvi na Iraq leo baada ya kuondoka Saddam? Ana ugomvi na Misri? au Yemeni amewahi kuwa na ugomvi nao? Saudi Arabia je? Au Kuwait
tusikuze mambo.
Hapo Uarabuni Marekani kwa sasa, narudia kwa sasa, ana ugomvi na Iran sababu viongozi wake wamekuwa vichwa ngumu, kabla ya mwaka 1989 Iran palikuwa kama sebureni kwa marekani, walikuwa na uswahiba mkubwa sababu walikuwa na rais hajielewielewi.
Haya mambo ya Nuclear ni uzushi tu, marekani ndio aliyewafundisha Iran mambo ya Nuclear mpaka alipoondoshwa shah, utasema marekani ana ugomvi na Taifa zima?
viongozi wa sasa wa Iran walikuwapo wakati wa utawala wa Obama, wakaingia makubaliano 2015 wingu la utulivu likashuka chini, kaja huyu kichaa you see what is happening, yaani hata kusema Taifa la Marekani linaugomvi na Taifa fulani ni uzushi pia.
Umebadilisha sasa kaka!?Kwani uvamizi wa Iraq ulikuwa na intention ya Regime change pale Iran?
Kuna wamarekani walikuwa wanashikiriwa mateka , na Iran ndio ilikuwa ina final say waachiwe au wasiachiwe. actually USA hakuwa hata anamsaidia Iran Vitani alikuwa ana interests zake tu sema wairan pia walikuwa na shida ya siraha, ndo maana biashara yenyewe ilikuwa ikifanyika kwa siri kubwa sana.