Kitabu: House of Huawei

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,621
Reaction score
20,567
Kitabu hiking kimetoka mwaka huu. Kinazungumzia historia ya Huawei na maanzilishi wake. Jinsi Huawei ilivyoanza hadi kuja kuwa kampuni kubwa kabisa ya Telecom duniani. Ikizipita Ericcson, Nokia na kuziacha zingine zikifika. Ikaja kuwa muuzaji mkubwa kabisa wa simu za mkononi ikizipita Apple na Samsung. Jinsi ilivyokumbana na kukabiliana na vikwazo kutoka Marekani. 4.5

 
Hakuna nchi ya kitapeli duniani kama ilivyo china.

Reserach and you will prove
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…