Kitabu cha Wageni?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267

Mwenyekiti Mpya wa Chama cha Soka Mkoa wa DSM DRFA akitia saini kwenye "Kitabu cha Wageni" kabla ya kufungua semina ya waamuzi.................hii ni kwa Tanzania tu
 
Hua tunachukulia mambo kwa wepesi sana, na matokeo kwa uzito sana!
 
Angalia shajala (note book) za waamuzi kule nyuma kama daftari za shule ya msingi halafu utasikia semina hii inaendeshwa kwa msaada wa watu wa...................
si bora hata wangetumia counter book!
 
kwenya stationary kitabu cha bei nafuu kinauzwa tsh 2500/=, sasa kama viongozi wenyewe ndio hao wa SLP, hii digital wataiweza kweli..........?
View attachment 78952
Mwenyekiti Mpya wa Chama cha Soka Mkoa wa DSM DRFA akitia saini kwenye "Kitabu cha Wageni" kabla ya kufungua semina ya waamuzi.................hii ni kwa Tanzania tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…