Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 465
Hatupangiani ila ilani ndio inawataka hivyo ni lazima itekelezweMkuu nimeishia hapa:
"Serikali ya awamu ya sita ni lazima iendeleze itikadi na falsafa za awamu ya tano"
Lazima?!
Wajameni mbona kupangiana? Haya si ndiyo aliyoyakataa mwendazake?
Hatupangiani ila ilani ndio inawataka hivyo ni lazima itekelezwe
Kweli kabisakusema ukweli ili Tanzania tuendelee ni lazima tufuate falsafa na maono ya hayati Dr. JPM.
Kwani ni ilani gani tunayoitekelezaHii ni awamu ya sita jombi. Rais wake ni mama Samia. Kwa mujibu wa katiba inayopigiwa kelele yeye ndiye mwamuzi wa nini kifanyike na hakuna kuhoji. Umeyasahau ya Burigi na airport matata kabisa ya kule kwetu?
Nakazia: niliishia kusoma nilipokuelekeza.
Huo ndiyo ulio ukweli mchungu kweri kweri.
Hawa watu ni tatizo katika taifa letu hawafai uzuri hata Mama yetu ameshawagundua Sasa wanahaha kuji kombakombaHapo ndio tunapofeli, kwanini yeye aandike kitabu chake ni si watanzania tumpe maelekezo aandike kitabu kipi?
nape
makamba
Unaweza wasikia sauti zao za ndani zilizojaa giliba na, chuki na unafiki
Kwani ni ilani gani tunayoitekeleza
Nakusahishisa...Mama Samia ni Rais wa Sita katika Serikali ya awamu ya tano..ambayo itakoma ama kufika mwishoni mwaka 2025.Kuelekea utekelezaji wa mipango na mikakati ya ilani ya uchaguzi ya chama Cha mapinduzi 2020_2025 .
Serikali ya awamu ya sita ni lazima iendeleze itikadi na falsafa za awamu ya tano na sababu kuu ni kwamba Kura za wananchi walizopata serikali ya CCM katika uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 zilitokana na ilani ya uchaguzi ambayo chama Cha CCM waliinadi,lakini pia asilimia kubwa ya Watanzania waliipa dhamana serikali ya CCM kuongoza nchi hii kwa sababu ya Imani kubwa waliyokuwa nayo juu ya aliyekuwa Rais John pombe Joseph Magufuli na aliyekuwa Mgombea mwenza wake ambaye ndiye Rais wetu wa awamu ya sita Mama Samia Suluhu Hassan.
Matarajio na matumaini ya wananchi ni kwamba Rais aliyepo madarakani kwa vyovyote vile ataendeleza Yale yote mazuri yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tano kwa sababu na yeye alikuwa miongoni mwa watendaji wakuu waserikali hiyo,lakini pia watayaenzi na kuyalinda Mambo yote mema aliyotufanyia aliyekuwa Rais wetu Dr.Magufuli.
Kila kasoro iliyojitokeza katika utendaji wq serikali ya awamu ya sita ukweli wa Mambo Rais wetu wa Sasa na serikali nzima inapaswa kurekebisha kwa sababu ni wajibu wao kikatiba na ikizingatiwa na wao walikuwa sehemu ya serikali hiyo.
Mpendwa wetu amekwenda na Sasa ni awamu ya sita.
Awamu ambayo yetu ni matumaini ni makubwa na Imani yetu haina Shaka juu ya serikali yetu chini ya Rais jemedari Mama Samia Suluhu Hassan.
Wahenga wana msemo usemao kila zama na kitabu chake na Kuna mbunge kutoka mtama ametukumbusha usemi huu kuwa Sasa tumwache mama aandike kitabu chake,ni kweli kabisa Ila lazima tukumbuke kitabu Cha mama katika kava lake la nje Kuna sura ya mpendwa wetu Rais Magufuli lakini hata dibaji ya kitabu hicho iliiandikwa kwa mkono wa Rais Magufuli .
Hitimisho,tunajenga nyumba moja haipaswi kugombea fito serikali ni ya CCM na Siku zote CCM ni Ile ile.Wale wapinga maendeleo na maadui wataifa letu hawana nafasi mbele ya serikali ya CCM.
#KAZIIENDELEE
View attachment 1752744
Nakusahishisa...Mama Samia ni Rais wa Sita katika Serikali ya awamu ya tano..ambayo itakoma ama kufika mwishoni mwaka 2025.
Ni yesu wenu eti? Bila ya yeye hatutaendelea!!!kusema ukweli ili Tanzania tuendelee ni lazima tufuate falsafa na maono ya hayati Dr. JPM.
Kuelekea utekelezaji wa mipango na mikakati ya ilani ya uchaguzi ya chama Cha mapinduzi 2020_2025 .
Serikali ya awamu ya sita ni lazima iendeleze itikadi na falsafa za awamu ya tano na sababu kuu ni kwamba Kura za wananchi walizopata serikali ya CCM katika uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 zilitokana na ilani ya uchaguzi ambayo chama Cha CCM waliinadi,lakini pia asilimia kubwa ya Watanzania waliipa dhamana serikali ya CCM kuongoza nchi hii kwa sababu ya Imani kubwa waliyokuwa nayo juu ya aliyekuwa Rais John pombe Joseph Magufuli na aliyekuwa Mgombea mwenza wake ambaye ndiye Rais wetu wa awamu ya sita Mama Samia Suluhu Hassan.
Matarajio na matumaini ya wananchi ni kwamba Rais aliyepo madarakani kwa vyovyote vile ataendeleza Yale yote mazuri yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tano kwa sababu na yeye alikuwa miongoni mwa watendaji wakuu waserikali hiyo,lakini pia watayaenzi na kuyalinda Mambo yote mema aliyotufanyia aliyekuwa Rais wetu Dr.Magufuli.
Kila kasoro iliyojitokeza katika utendaji wq serikali ya awamu ya sita ukweli wa Mambo Rais wetu wa Sasa na serikali nzima inapaswa kurekebisha kwa sababu ni wajibu wao kikatiba na ikizingatiwa na wao walikuwa sehemu ya serikali hiyo.
Mpendwa wetu amekwenda na Sasa ni awamu ya sita.
Awamu ambayo yetu ni matumaini ni makubwa na Imani yetu haina Shaka juu ya serikali yetu chini ya Rais jemedari Mama Samia Suluhu Hassan.
Wahenga wana msemo usemao kila zama na kitabu chake na Kuna mbunge kutoka mtama ametukumbusha usemi huu kuwa Sasa tumwache mama aandike kitabu chake,ni kweli kabisa Ila lazima tukumbuke kitabu Cha mama katika kava lake la nje Kuna sura ya mpendwa wetu Rais Magufuli lakini hata dibaji ya kitabu hicho iliiandikwa kwa mkono wa Rais Magufuli .
Hitimisho,tunajenga nyumba moja haipaswi kugombea fito serikali ni ya CCM na Siku zote CCM ni Ile ile.Wale wapinga maendeleo na maadui wataifa letu hawana nafasi mbele ya serikali ya CCM.
#KAZIIENDELEE
View attachment 1752744
NI LAZIMA AENDELEZE KWANI AKIYAACHA HATWEZI KUKUBALI..MFANO ETI AACHE UJENZI WA BWAWA LA NYERERE KISA HAPANGIWI WAKATI TUMEISHA LIPA TRILLIONMkuu nimeishia hapa:
"Serikali ya awamu ya sita ni lazima iendeleze itikadi na falsafa za awamu ya tano"
Lazima?!
Wajameni mbona kupangiana? Haya si ndiyo aliyoyakataa mwendazake?
Nyie seti tupu hamuodoki nyote mkamfuata yule wawanyonge ili tubaki huru??kusema ukweli ili Tanzania tuendelee ni lazima tufuate falsafa na maono ya hayati Dr. JPM.
Sahihi kabisaNI LAZIMA AENDELEZE KWANI AKIYAACHA HATWEZI KUKUBALI..MFANO ETI AACHE UJENZI WA BWAWA LA NYERERE KISA HAPANGIWI WAKATI TUMEISHA LIPA TRILLION
Duh..wazee mbona wagumu kuelewa aisee..Mama Samia ataanza awamu ya Sita baada ya uchaguzi Mkuu wa 2025..kwa sasa hata Ilani ya chama chake inatamka awamu ya tano...hio 2025 atakuwa Rais wa Sita katika awamu ya Sita ...2030 akifika Rais ajaye atakuwa Rais wa Saba awamu ya Sita..so now mama Samia ni Rais wa Sita katika awamu ya tano..coz haikuisha..Mkuu na wewe hujakubali kuwa awamu ya tano ilishakwenda na mwendazake na hii ni awamu ya sita?