Sijasema haijulikani uchawi ni nini.Sasa mbona kuna watu wanapinga kuwa hakuna uchawi ikiwa haijulikani uchawi ni nini?
Wewe unasema kuwa hayo yenye kudaiwa kuwa ni uchawi yaweza kuwa si uchawi bali ni mambo mengine tu tusiyoyajua, hapo ndipo umuhimu wa uchunguzi unapohitajika maana kama kuna mambo ambayo hatuyajui na kweli yapo na yanahusu hadi maradhi na tiba basi huoni kuwa tunahitaji kuyafanyia uchunguzi kuliko kuacha kufanya uchunguzi kisa definition?
Hayo yote unayouliza yatajulikana kwenye uchunguzi maana ndio tutafahamu vp tunaweza kujua tatizo fulani au maradhi fulani kuwa chanzo ni uchawi,majini au kitu chengine tu.Sijasema haijulikani uchawi ni nini.
Nimetaka definition ya uchawi kutoka kwenu.
Uchawi ni nini?
Utawezaje kufanya uchunguzi kujua kama mtu anaumwa kwa uchawi au anaumwa kwa sababu ya virusi tu, si uchawi, bila hata ku define uchawi ni nini?
Hatua ya kwanza katika uchunguzi wa kutenganisha uchawi na vitu vingine visivyo uchawi ni ku define uchawi.
Uchawi ni nini?
Hamjajibu swali hili.
Du namkumbuka huyu mwamba class mate wangu huyu o'level.Mzee Munga ni moja ya watu wa kwanza kabisa kufundisha elimu hii ya kujitambua. Walikuwa na society inaitwa Life Wave na ilibadilika jina na kuwa The Path Society ambapo wapo Kigamboni kwa sasa.
Nyie mnaamini uchawi upo, lakini hamuwezi hata ku define uchawi ni nini?Hayo yote unayouliza yatajulikana kwenye uchunguzi maana ndio tutafahamu vp tunaweza kujua tatizo fulani au maradhi fulani kuwa chanzo ni uchawi,majini au kitu chengine tu.
Sasa sijajua wewe hapa unataka maelezo gani ambayo yatatenganisha uchawi na vitu vyengine kimaelezo tu, maana nijuavyo mimi uchawi ni chanzo cha tatizo na si kwamba ndio tatizo lenyewe kwa maana uchawi unaweza kusababisha stroke, ugumba au hata matatizo ya akili, sasa hapa siwezi kutoa maelezo tu ya kutenganisha matatizo hayo kuonyesha utofauti wake kati ya uchawi na mengine.
Kama nilivyosema kwamba yawezekana tukashindwa kueleza uchawi ni nini hasa, lakini hilo halifanyi kwamba hicho tunachoita kuwa ni uchawi hakipo kisa tu tumeshindwa kuelezea huo uchawi wenyewe ni nini? ambao kuna watu kama nyie mnapinga uwepo wake na kusema hakuna huo uchawi. Vipo vingi tu kwenye maisha yetu ambavyo hatuwezi ku define ila vipo.Nyie mnaamini uchawi upo, lakini hamuwezi hata ku define uchawi ni nini?
Sasa kama huwezi hata ku u define uchawi, maana yake wewe mwenyewe huuelewi uchawi, utajuaje upo kweli na si hadithi za watu tu?Kama nilivyosema kwamba yawezekana tukashindwa kueleza uchawi ni nini hasa, lakini hilo halifanyi kwamba hicho tunachoita kuwa ni uchawi hakipo kisa tu tumeshindwa kuelezea huo uchawi wenyewe ni nini? ambao kuna watu kama nyie mnapinga uwepo wake na kusema hakuna huo uchawi. Vipo vingi tu kwenye maisha yetu ambavyo hatuwezi ku define ila vipo.
Sasa sijaelewa wenye kupinga uchawi ni kwa sababu hakuna definition ya uchawi au hakuna hayo yenye kuitwa ni uchawi? Bado najiuliza kwanini hakuna uchunguzi hadi leo kwa mambo ambayo uhusishwa na uchawi maana uchawi umekuwepo kwa karne nyingi tu.
Sasa si ni jambo rahisi tu kuwa WEWE AMINI HAUPO. UNATAFUTA PA KUBISHANIA NA WATU?🤣Nyie mnaamini uchawi upo, lakini hamuwezi hata ku define uchawi ni nini?
Kuamini ni jambo la mtu binafsi. Unaruhusiwa kuamini au kutoamini, kitu kiwe kweli au si kweli.Sasa si ni jambo rahisi tu kuwa WEWE AMINI HAUPO. UNATAFUTA PA KUBISHANIA NA WATU?🤣
Jamaa alikuwa mtunzi mzuri sana sana. Halafu alikuwa mtu muungwana, mcheshi na mpole. Bado nakumbuka habari zake kwenye magazeti.Hapana Ndugu, sikumaliza kukisoma.
Lazima Kuna Mtu ktk Family Yangu amekiiba.
Kitabu hiki nilikificha pamoja na hati zangu za viwanja.
Hati zangu zote nimezikuta ila kitabu hiki sikukikuta aisee.
Acha kuwachosha watu kama unataka kujua maana ya uchawi kuna vyuo hadi ngazi ya masters kasomee huko.Sasa kama huwezi hata ku u define uchawi, maana yake wewe mwenyewe huuelewi uchawi, utajuaje upo kweli na si hadithi za watu tu?
Umeshachunguza mangapi kuhakiki?Kuamini ni jambo la mtu binafsi. Unaruhusiwa kuamini au kutoamini, kitu kiwe kweli au si kweli.
Lakini, ukishayaweka mambo JF, umeyaweka kwenye hadhara, umeyatoa kwenye faragha ya ubinafsi.
Hapo yatahitaji uchunguzi, uhakiki.
Ndicho kinachotokea hapa.
Kwani lini nilikukataza usiamini unachotaka kuamini?
Sasa mbona wewe ndiye unawachosha watu kwa kuendeleza ubishi na mtu anayewachosha watu?Acha kuwachosha watu kama unataka kujua maana ya uchawi kuna vyuo hadi ngazi ya masters kasomee huko.
Sio kila kitu cha kutaka kubishana tu. Mara nyingi mnaoukataa ndio wachawi wenyewe sasa 😂😂
This is whataboutism, also logical non sequitur fallacy, also strawman argument fallacy.Umeshachunguza mangapi kuhakiki?
Yeah, nikweli kabisa.Jamaa alikuwa mtunzi mzuri sana sana. Halafu alikuwa mtu muungwana, mcheshi na mpole. Bado nakumbuka habari zake kwenye magazeti.
Vipi, haukuwahi kupata material yoyote kutoka kwake?Du namkumbuka huyu mwamba class mate wangu huyu o'level.
Kwenye google photo kuna picha na kurasa kadhaa za Kitabu hicho kwasababu niliwahi kuhojiana na Ndugu Yangu 1 Yupo Korogwe Tanga, Yeye alipendekeza kukisoma kitabu hicho Kwanjia ya WhatsApp.Umekipoteza ila cover lake bado unalo umepiga picha?
Tayari Nimetoka definition ya Uchawi Kwa mujibu wa kitabu Cha Bw. Munga TeheranSasa kama huwezi hata ku u define uchawi, maana yake wewe mwenyewe huuelewi uchawi, utajuaje upo kweli na si hadithi za watu tu?