Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,764
- 50,849
Pamoja MkuuFaana,
Ahsante kwa kunielimisha.
Pamoja MkuuFaana,
Ahsante kwa kunielimisha.
Yoda,Wewe mzee unapenda sana udini
Kaka Mohamed kwanza shikamoo maana Huku kwetu Itabagumba (buchosa)bila salamu hiyo heshima haionekani,nikushukuru Kwa kuniwekea tanzia ya nguli huyu maana niliikosa na ninavyojua uhusiano wako na almaruhuum Nika Jua utakuwa umeshusha stori siyo ya kitoto kumuhusu asante sana kaka MUNGU akupe maisha marefu na siha njema mwalimu wangu walugha na uandishi Kwa ujumla.Yoda,
Unadhani kuandika historia ya Waislam ni udini?
Vipi kufuta historia ya Abdulwahid Sykes katika kupigania uhuru wa Tanganyika?
Mbuli,Kaka Mohamed kwanza shikamoo maana Huku kwetu Itabagumba (buchosa)bila salamu hiyo heshima haionekani,nikushukuru Kwa kuniwekea tanzia ya nguli huyu maana niliikosa na ninavyojua uhusiano wako na almaruhuum Nika Jua utakuwa umeshusha stori siyo ya kitoto kumuhusu asante sana kaka MUNGU akupe maisha marefu na siha njema mwalimu wangu walugha na uandishi Kwa ujumla.
sana.Mbuli,
Marhaba.
Ahsante sana.
Dah,ndiyo nafahamu kama nguli huyu ametutoka! Alikuwa anaumwa??kaka Mohamed Said sijaona tanzia ya nguli Mohamed Rajabu,naisubiri.
Samahani, mzee wangu, alikuwa anaumwa huyu marehemu nguli wetu wa habari??Mbuli...
Mzee wa ItabagumbaKaka Mohamed kwanza shikamoo maana Huku kwetu Itabagumba (buchosa)bila salamu hiyo heshima haionekani,nikushukuru Kwa kuniwekea tanzia ya nguli huyu maana niliikosa na ninavyojua uhusiano wako na almaruhuum Nika Jua utakuwa umeshusha stori siyo ya kitoto kumuhusu asante sana kaka MUNGU akupe maisha marefu na siha njema mwalimu wangu walugha na uandishi Kwa ujumla.
Ooh kumbe,basi ndio maana ni muda sasa anasema kitabu chake kiko hatua za mwisho mwisho 😎Wanaondika vitabu hapa kwetu kama wanajichulia, rejea kwa Mzee Benja, mzee Mengi, mzee Sir Chande,Mzee Mwinyi
Unataka kumaanisha kwamba Mheshimiwa Rais Mstaafu hakumaliza masomo yake ya Chuo Kikuu?!Unaongelea kitabu kilichoandikwa na tapeli aliyefukuzwa chuoni baada ya kugundulika alikuwa tapeli aliyejiita msomi wakati ni kihiyo?
Anaendelea mkuu ,yeye ndio rais mkubwaJK ingependeza sana kama angetawala hii nchi mpaka umauti wake
Kws umri wa mzee mwinyi kweli umeamua kumuweka hapa 😁?Wanaondika vitabu hapa kwetu kama wanajichulia, rejea kwa Mzee Benja, mzee Mengi, mzee Sir Chande,Mzee Mwinyi
Ngoja tumtoe akusatahili maana alishakula chumvi nyingi, tuendelee na hao wengine😄Kws umri wa mzee mwinyi kweli umeamua kumuweka hapa 😁?
Ngoja tumtoe akusatahili maana alishakula chumvi nyingi, tuendelee na hao wengine😄Kws umri wa mzee mwinyi kweli umeamua kumuweka hapa 😁?
naam mkuuNgoja tumtoe akusatahili maana alishakula chumvi nyingi, tuendelee na hao wengine😄