ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 444
Somo la Kwanza: kumjua mwanamke.
Somo la pili kumjua mwanaume
.......mmmh walikula tunda la katikati ya bustani...Adam akamjua mkewe, wakapata mwana wa kiume wakamwita Kaini....
.......mmmh walikula tunda la katikati ya bustani...
Shemkwe heshima yako.
You will nvr understand a woman in your life.muulize adam wa eden au issaka na rebeka,you will nvr,
Lol na baada ya hapo wakijiona wapo uchi..upo hapo!Hahaha mie simooo....
Habari ya wewe shemkwe wa mimi...
just like the way I have failed to understand this thread!!!!!!!
We acha tu yaani umeamua leo sitoki nacheki muvi tu halafu umeme unakatika hii inaudhi saaana
inaudhi aisee.......,pozi lote linaisha...........
kaka angu we mzima lakin
M gud mamy mishangao tu ya purukishani mjengoni!!!!
How is you!!!!
Ningesema nami sielewi tungechekwa kifamilia ikabidi nikwambie sasa hii thread upande wangu umeme umekatika!!!!
Nilishakusoma mbona....,lugha za wanafamilia hizi tunasomana wenyewe kwa wenyewe
na huu umeme sijui utarudi saa ngapi tangu jana tumelala giza totoro!!!!!!!!!!!!
Hapo ndo hukupendaga mie wewe!!!!
Hebu chekipo namba ya imejensi
si ile ile ya siku zote!!!!!!!!
nimewapigia eti wako njian kuna nguzo imeanguka pale karibu na kwa kina mama Chale
wanakuja kurekebisha lakin,la sivyo twende mtaa wa 7 huku turudi baadae
inaudhi aisee.......,pozi lote linaisha...........
kaka angu we mzima lakin
DEMBA hivi mbona ule mtaa ulionitaja jana nijekwi kwi kwi mbona mwachakachua uzi wajamen.
kwi kwi kwi mbona mwachakachua uzi wajamen.