Nafikiri kipo out of print. Nilipata bahati ya kuongea na mtuhumiwa wa Kwanza katika case hiyo aliyetoroka gerezani Ukonga kwa njia ya kimafia. Pia nilibahatika kumuona mzazi wake.
Wote walikuwa watu wapole sana. Usingelichoka kuwasikiliza. Wote wametangulia mbele ya haki. Akitangulia mtoto mwaka 2000 na baadae mzee wake mwaka 2002.