Mdude_Nyagali
Member
- Dec 11, 2022
- 84
- 1,494
Hakuna marefu yasiyo na ncha!Anguko la CCM ni mmojawapo ya nadharia za kujifariji kutoka kutoka kwa wanazuoni wa ufipa
CCM itatoka mpaka pale itakapoamua yenyewe kwa sababu inafanya kila kitu na isipofanya ndio itakuwa imeamuaHakuna marefu yasiyo na ncha!
Utaanguku wewe kima na CCM itaendelea kusimama kidedea.Binafsi naamini mwaka huu kuna anguko kubwa la CCM. Ndio maana tangu January mwaka huu nilianza uandishi wa kitabu kinachosimulia anguko la CCM. Ndani ya kitabu hicho nasimulia siasa za Tanzania tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995.
Ndani ya kitabu hiki kuna simulizi ya mabaya na mazuri ya tawala zote kuanzia Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa niko naandika ya Samia. Kitabu hiki kitakuwa release baada ya anguko la CCM.
Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
..ccm hata robo ya ubabe wa saddam Hussein hamjafikia, yuko wapi saddam Hussein..toa hiyo miwani ya mbao umevaa, wewe unamuona chadema na Lissu ndio maana umevimbiwa unajamba na kutapika hadharani..endelea hivyo hivyo!CCM itatoka mpaka pale itakapoamua yenyewe kwa sababu inafanya kila kitu na isipofanya ndio itakuwa imeamua
Inafanya kila kitu ccm ina hela gani?CCM itatoka mpaka pale itakapoamua yenyewe kwa sababu inafanya kila kitu na isipofanya ndio itakuwa imeamua