NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,556
- 17,535
Legacy kama legacy itadumu daima!
Hahaha wale wapiga zumari la mafisadi kitabu chao kimedoda mnoHuyo mwandishi hata kwa sura anaonekana ni mtu Makini tofauti na Waimba kwaya wa Mbezi beach Akina Meena
Atakuwa ameandika yeye mwenyewe. Huyo mwinginw ni zuga tu!Mr slow amesaidia kufanikisha hiki kitabu,amefanya jambo jema sana.
Wewe ulidhurumiwa nini? Pia tueleze wewe ulidhurumu watz wangapi kwa ufisadi wako?Atakuwa ameandika yeye mwenyewe. Huyo mwinginw ni zuga tu!
Ni ujinga kabisa kudhani mnaweza kuendelea kuhadaa watanzania kwa kutumia jina la huyo dikteta wenu ambaye alikuwa ameteka akili za watanzania wasiojitambua waliokuwa wanafurahia mateso ya wenzao wasio na hatia ambao walidhurumiwa mali zao na wengine hata maisha!
Bila shaka wewe ndiyo hujitambuiAtakuwa ameandika yeye mwenyewe. Huyo mwinginw ni zuga tu!
Ni ujinga kabisa kudhani mnaweza kuendelea kuhadaa watanzania kwa kutumia jina la huyo dikteta wenu ambaye alikuwa ameteka akili za watanzania wasiojitambua waliokuwa wanafurahia mateso ya wenzao wasio na hatia ambao walidhurumiwa mali zao na wengine hata maisha!
utakufa vibaya wewe upinde wa mvuaAtakuwa ameandika yeye mwenyewe. Huyo mwinginw ni zuga tu!
Ni ujinga kabisa kudhani mnaweza kuendelea kuhadaa watanzania kwa kutumia jina la huyo dikteta wenu ambaye alikuwa ameteka akili za watanzania wasiojitambua waliokuwa wanafurahia mateso ya wenzao wasio na hatia ambao walidhurumiwa mali zao na wengine hata maisha!
Naona kama vile bi tozo atanunua sana kipindi hikiKitabu cha AFRICA MAGUFULI AND CHANGE kilichoandaliwa na raia wa Malawi kwa lengo la kutambua mchango mkubwa wa kimaendeleo kwa bara la Afrika uliofanywa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania Hayati John Magufuli kimeingia rasmi Tanzania na kupokelewa kwa kishindo na wananchi, wasomi wengi wameonekana kuwa na kiu ya kutaka kujua ni namna gani akili ya hayati Magufuli ilivyokuwa inafanya kazi kwa haraka na kuwezesha kutekeleza miradi mikubwa sana ndani ya muda mfupi wa utawala wake.
Kitabu cha AFRICA MAGUFULI AND CHANGE kina jumla ya kurasa 800 na tayari kimethibitika kupandikiza nuru ya uzalendo na uthubutu kwa mataifa yao kwa wale waliokisoma.
Kitabu hiki kinatazamiwa kutapakaa kote Tanzania, barani Afrika na duniani kote hasa kwa jamii inayojitambua.View attachment 2643855
Nani ambaye ndugu yake aliokotwa kwenye viroba embu mtaje na mbona hutaki kuamini hakuna ajira kwa wenye vyeti feki hata serikali ya Samia haiwaajiri wenye vyeti fekiWatakuja pia walionyimwa ajira, ambao ndugu zao waliokotwa kwenye viroba na walioporwa pesa
Utaratibu wa kukipata unaandaliwaTunakipataje kitabu cha Mwamba, aka Uncle Magu.
Mama ameajiri wenye vyeti halali ambao walinyanyasika enzi za nduliNani ambaye ndugu yake aliokotwa kwenye viroba embu mtaje na mbona hutaki kuamini hakuna ajira kwa wenye vyeti feki hata serikali ya Samia haiwaajiri wenye vyeti feki
Wewe una vyeti fake siyo bure!!Mama ameajiri wenye vyeti halali ambao walinyanyasika enzi za nduli
Nduli hayupo, na harudi tenaWewe una vyeti fake siyo bure!!
Ngoja vyeti feki, wakwepa kodi, mafisadi na timu nyumbu waje kutoa povu