Kitaalam ipi right size ya clit-r-s?

Kitaalam ipi right size ya clit-r-s?

Mi nilikuwa napitia response za wamama tu,naona wote wako reserved,hawataki kufunguka ha ha ha..
 
Ni maumbile tu...hivi unajua kwamba kila Mwanaume ni mwanaMke!?? How!?..Embryological sehemu za kike ndo huwa zinabadilika na kuwa za kiume(km mtoto akitakiwa kuwa wa kiume) na Penis waliyonayo wanaume imetokana na kukua kwa hiyo CLIT..
1.clitoris ikirefuka inatengeneza penis..
2.Yale mashavu(labia) ndo yanatengeneza scrotum(ule mfuko wa makende)
3.Ovaries zake zinakuwa mapu.mb.u kwa wanaume..

So unaona ni maumbile tu brother.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zilizopo juu zatosha na vile vile tutaongeza foleni huko angani. Vile vile tuki poteza control itashuka kama bomb so hatutaki rusha kamweee
Kujana wa makamo kwa umri wako huu wa makamo na mawazo yako ya mslahi kwa watanzania nimekukubali sana kweli unaipenda sana nchi yako na unajali utu kuliko vitu.
 
Back
Top Bottom