Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
[emoji23] [emoji23]heeeeeeeeeeeeeeeee!!! kumbe afande ina maana tena ya tigo!!!
Utapata tabu sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna Afande mmoja yupo hapa Nataka akirudi nimpelekee maana ya hili neno.
Afande Mwita.
Unatafuta ugomvi wewe... [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna Afande mmoja yupo hapa Nataka akirudi nimpelekee maana ya hili neno.
Afande Mwita.
Halafu tunadhani Kiswahili ni rahisi...Shikamoo Swahili
Umeona eh?...Duh hatare
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ...Nimeona neno Mende!!
Tunga sentensi kwa kutumia neno mende.
1)Mawazo ya mende chooni watu wa pwani bwana.
2) wowowo la sanchoka linaleta mawazo ya mende chooni.
Cc[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kuna Afande mmoja yupo hapa Nataka akirudi nimpelekee maana ya hili neno.
Afande Mwita.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ...Aisee tena kutoka leo nikijipata kwenye Police Station nitakuwa naanza sentensi zangu zote kwa heshima kubwa na; Afande! Afande mkubwa...., afande mheshimiwa...., Afande wa ma afande...[emoji38]