Hii imetokea huko Kenya
Mgeni rasmi akikaribishwa kutoa hotuba
Tunashukuru sana ndugu mgeni kwa Kunya kwako, Kila ukiitwa umekuwa ukiharisha lakini leo umekunya, asante sana kwa kunya kwako..................
fikiria kama ni Rais............Mh Rais asante kwa kunya kwako hapA...............