Ilibidi aandikeHapo ***** amina si matusi hayo
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Hahahaa!Mamaaa Aminaaaaaa(in msaga sumu's voice)
Kifupi cha mama yake Amina itakuwa ni 'mama'e Amina'Ilibidi aandike
Mamaye Amina ,ambapo ni kifupi ,
Kirefu chake itakuwa Mama yake Amina.
Mama AminaKwamfano utamkuta mwamke kazaa anabadilishwa Jina lake nakuitwa Jina la mtoto wake aliomza upi usahihi wa kuitwa kwa mfano mwanawe Jina: AMINA:
1: mama amina
2: maa amina
3: mama yake amina
4: ***** amina
5: mzazi wa amina
6: bii mkubwa wa amina
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukisema mama Amina si unamaanisha yule mama anaitwa Amina ndio Jina lake
Humtusi mtu bila kutaja kitu ambacho ni tusi, sema zile swagg au simo tunazotumia kitaa ndio tunaona kama ni matusi, au kutumia maneno mkatoMbona kichekesho? mara unatamka mbele za watu ***** Amina au mamake Amina, au mamaye Amina. watahisi unamtusi amina
kbl hujarudi njo kwanza tumpande amina kumtumbo mambo yawe swafi..Nitarud