Kiswahili: Kutoka kwa wakenya

Wakuu,

nimejaribu kujizuia lakini nimeshindwa...hebu nitinge humu.

Kwanza kabisa Invii thank you so much for everything you
have done and are doing to bring us together.Keep up the good work.



...Kwa hivyo mimi nishaamua I'm beyond borders and I don't subscribe to labels
and such. Lets foster this unity in ways unimaginable maana it is through this
generation that a lot can be done hususan ule muungano wa EAC which to me has to start at a social level kabla hatujaanza kuhusisha serikali ama maswala ya kiuchmi. Why would we be chasing a dream like the EAC when the common man in both countries cannot get along either by design or happenstance?

Personally I played my part as a teacher na ni fahari ninapotizama na kuona wanafunzi niliowafundisha na kuwachapa viboko sasawako chuo kikuu wanasoma mambo ya nguvu.

Idumu JF, Idumu East Africa na tudumu sie kama wanajamii.

Naomba kuwasilisha.


I second Ab-Titchaz's comment.

I'm very optimistic, and can see light at the end of the tunnel. Tukianzia kwenye kizazi hiki cha dot com, the unimaginable is about to be realized.






.
 
Last edited by a moderator:
AA hah-ha-ha-ha-ha-hah... oooh, dah!


attachment.php


This is so hilarious
What is the origin of those terminologies man?




.

Lazydog,

nd'o taabu ya hio lugha ya sheng...yaani inanyumbuka karibu kila
siku hata mwenzio nilishindwa ku-catch up after I left Kenya.

Hii message kakangu mkubwa aishie Nairobi nd'o kanitumia kwenye
email..Alijua nitafanya ishu nayo tu.
 


I second Ab-Titchaz's comment.

I'm very optimistic, and can see light at the end of the tunnel. Tukianzia kwenye kizazi hiki cha dot com, the unimaginable is about to be realized.






.

Thats whats up mkuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom