Kiswahili kinachangia matokeo mabaya Kidato cha nne

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
4,861
2,000
Sijui kama viongozi wizara ya elimu huwa wanafanya tathmini ya perfomance Shule za serikali na zile za Private?

Miaka yote Shule za private zinaongoza katika top ten..kwanini isiwe za serikali?kwanini serikali haifuatilii changamoto hii?

Ifikie pahali tukubali tu kua in lazima au muhimu kiingereza kitumike kuanzia Shule za awali hadi vyuoni kinyume cha hapo tutakuja kupata matatizo Mengi mbeleni..kwa maana uelewa wa wahitimu wengi utakua wa chini hivyo kushindwa kufikia viwango shindanishi

Mifano hai ipo hata sasa
Wakenya wengi wapo nchini wakiwa viongozi sehemu mbalimbali ktk makampuni,mabenki na hata viwandani..na siri hapa elimu yaweza kuwa kiwango sawa isipokua quality

Hawezi mwanafunzi wetu akafanya vizuri secondary school ikiwa mpaka anamaliza darasa la saba hawezi Ku hesabu kwa kiingereza mpaka namba 100....hii ni hatari Mfano Mimi mwanangu alimaliza mwaka juzi darasa LA saba English medium hapa Dar darasani wao walikua wanafunzi jumla waliomaliza 16 tu darasa zima akachaguliwa sekondari ya kata mbagala kuu darasa lote walikua jumla 600..likagawanywa streams A-F....siku ya pili tu ikaonekana mwanangu ni mmoja kati ya watoto wachache walioonekana na kiwango bora kabisa!....kwa utofauti wa ki uwezo baina yake na wenzake ilibidi nimuhamishe Shule akaenda kwenye Shule ya standard yake na huko anaendelea vema

Naomba wizara ya elimu walifikirie sana jambo hili la lugha na kuzifuatilia kwa karibu Shule hizi za serikali kuona uwiano wa walimu na wanafunzi kwa idadi pia mahitaji ya walimu wa masomo yote watosheleze darasa lote shule nzima

Wizara iboreshe mazingira ya hali za maisha na ufundishaji kuwajengea walimu hamasa ya kuipenda kazi,lakini kubwa ni English itumike mashuleni kuanzia nursery school.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jeipm

JF-Expert Member
Sep 28, 2018
256
500
Unategemea kuajiriwa kwa kukipigia magoti lugha ya wakoloni?

Nenda Japan, China,urusi au ujerumani halafu uongee hiyo lugha hadharani,, hysee! watakuona kama mbwa koko.

Kwa miaka yote mfumo wa elimu yetu huo ambao unaudharau umetoa wasomi wengi ambao wengi wao wapo tu mtaani hawana pa kwenda

Nchini Kenya ambapo kiingereza kimeota mizizi, wasomi wengi tu wapo mitaani, wengine wanakimbilia uarabuni kuuzwa huko kuwa watumwa wa ndani.

Tatizo si lugha ipi itumike kufundishia.

Ulimwengu na dunia nzima inahitaji elimu ya kumfanya mwanadamu ajitegemee ili aweze kujiajiri mwenyewe.

Hayo mataifa unayosema hsyo yalishaendelea almost miaka 200 iliyopita kwa sisi lazima tukubali hapa tulipo in lazima lugha ya kiingereza itiliwe mkazo ili wanafunzi waelewe masomo ambayo wanafundishwa sasa,hivi wewe masomo kama
Biology,Chemistry,history,Geography,Maths unataka MTU amwelewe Mwalimu ili hali hajui kiingereza kisa japan, urusi hawategemei kingereza?
Sie sio wakujilinganisha na hayo mataifa
Labda tu nikuulize unategemea nini darasa letu moja la 12(form IV) Shule ya serikali wapewe mtihani wafanye pamoja na madarasa mengine ya 12 ya nchi za Kenya,Uganda unahisi nini kitatokea hapo yakitoka matokeo?

Kwa nini unasemea kiingereza? Kwa nini tusitumie kiswahili kufundishia hayo masomo kama ilivyo kwa shule za msingi?

Naona unataka tuipoteze lugha yetu pendwa hadhimu duniani.

Unataka tuwe kama wakongo,waganda,warwanda au wakenya ambapo wakiongea Mara wachanganye kifaransa, kiingereza Mara kiswahili humo humo, jamani haya si nimaajabu ya dunia?

Umeona wapi mmarekani, mkorea, mfaransa au muitalia akiongea ama kuandika jambo anachanganya lugha nyingi kwa wakati mmoja?

Usiwe mtumwa wa fikra,, tukipende kiswahili chetu tukiendeleze kwa manufaa ya kizazi kijacho.Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ntalukwilasa

JF-Expert Member
Jun 24, 2017
799
1,000
Hata huko shule za msingi hatufanyi vizuri licha ya kufundisha masomo kalibia yote kwa lugha ya kiswahili... Tukubali tu shule za serikali zina matatizo mengi Sana na hilo la lugha ni moja tu Kati ya mengine mengi.
Kwa nini unasemea kiingereza? Kwa nini tusitumie kiswahili kufundishia hayo masomo kama ilivyo kwa shule za msingi?

Naona unataka tuipoteze lugha yetu pendwa hadhimu duniani.

Unataka tuwe kama wakongo,waganda,warwanda au wakenya ambapo wakiongea Mara wachanganye kifaransa, kiingereza Mara kiswahili humo humo, jamani haya si nimaajabu ya dunia?

Umeona wapi mmarekani, mkorea, mfaransa au muitalia akiongea ama kuandika jambo anachanganya lugha nyingi kwa wakati mmoja?

Usiwe mtumwa wa fikra,, tukipende kiswahili chetu tukiendeleze kwa manufaa ya kizazi kijacho.Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
8,441
2,000
Sijui kama viongozi wizara ya elimu huwa wanafanya tathmini ya perfomance Shule za serikali na zile za Private?

Miaka yote Shule za private zinaongoza katika top ten..kwanini isiwe za serikali?kwanini serikali haifuatilii changamoto hii?

Ifikie pahali tukubali tu kua in lazima au muhimu kiingereza kitumike kuanzia Shule za awali hadi vyuoni kinyume cha hapo tutakuja kupata matatizo Mengi mbeleni..kwa maana uelewa wa wahitimu wengi utakua wa chini hivyo kushindwa kufikia viwango shindanishi

Mifano hai ipo hata sasa
Wakenya wengi wapo nchini wakiwa viongozi sehemu mbalimbali ktk makampuni,mabenki na hata viwandani..na siri hapa elimu yaweza kuwa kiwango sawa isipokua quality

Hawezi mwanafunzi wetu akafanya vizuri secondary school ikiwa mpaka anamaliza darasa la saba hawezi Ku hesabu kwa kiingereza mpaka namba 100....hii ni hatari Mfano Mimi mwanangu alimaliza mwaka juzi darasa LA saba English medium hapa Dar darasani wao walikua wanafunzi jumla waliomaliza 16 tu darasa zima akachaguliwa sekondari ya kata mbagala kuu darasa lote walikua jumla 600..likagawanywa streams A-F....siku ya pili tu ikaonekana mwanangu ni mmoja kati ya watoto wachache walioonekana na kiwango bora kabisa!....kwa utofauti wa ki uwezo baina yake na wenzake ilibidi nimuhamishe Shule akaenda kwenye Shule ya standard yake na huko anaendelea vema

Naomba wizara ya elimu walifikirie sana jambo hili la lugha na kuzifuatilia kwa karibu Shule hizi za serikali kuona uwiano wa walimu na wanafunzi kwa idadi pia mahitaji ya walimu wa masomo yote watosheleze darasa lote shule nzima

Wizara iboreshe mazingira ya hali za maisha na ufundishaji kuwajengea walimu hamasa ya kuipenda kazi,lakini kubwa ni English itumike mashuleni kuanzia nursery school.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kiswahili kinakupa shida na kiingereza pia hujuwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom