Kiswahili kina raha yake

Kiswahili kina raha yake

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,573
Reaction score
16,365
Nimependa jinsi walivyo express ukaribu wa bwana yule na odinga
f88e245db8189c1e523386ee14dce1cc.jpg
 
Ndo maana mimi sikipendi kabisa hiki kiarabu cha Africa kwani ni ngumu sana kujieleza kwa lugha hii hata kama umezaliwa nayo. Imeazima maneno mengi mno na inamtaka mtumia kueleza kwa maneno 100 hata kitu ambacho angetumia tu neno moja kwa lugha za asili au za mbele mbele kule kwa Shinzo Abe, Macron, Kagame, Ngosha ze Don
 
Hmmmm. Wenye kamusi ya kiswahili kwenye devices zao njooni huku.
 
Kiswahili ni lugha yetu, sawa, ila waendelezeji urasimishaji wa misamiati yake wazingatie 'thamani ' ya maneno
Mfano, Mubashara = live,
Hilo la kiarabu halina thamani sana ukilinganisha na live, kb zake ni nyingi mno. Gharama ya neno imekuwa kubwa hivyo thamani ya neno ikashuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom