Kiswahili kiacheni tu jamani

Mi ningependa kujua kama hayo maneno yapo Kamusi gani ya kiswahili?
 
Mim nilikuwa najua puku,kiungo na baobonye nilishayaona hayo maneno kwenye tovuti ya wikipedia lakin hayo mengine hapana kuna neno tarakilishi mpakato, nilisikia kwenye st swahili ikiwa na maana ya laptop
kweli kabisa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkondoni,bao bonye
 
Aaah! Hicho sio kiswahili ila ni Kiruga

Bora Kiingereza [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] kiingereza ni *chepethi[emoji5]
 
Aaah! Hicho sio kiswahili ila ni Kiruga

Bora Kiingereza [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] kiingereza ni *chepethi[emoji5]
Teh teh teh English mzozo
 
@Joseverest,Asante kwa kutuongezea kamusi hii ya maneno je wapi tunaweza pata maneno mengi zaidi kuongeza kamus zetu kwa wakati?
 
@Joseverest,Asante kwa kutuongezea kamusi hii ya maneno je wapi tunaweza pata maneno mengi zaidi kuongeza kamus zetu kwa wakati?
Kwenye vyanzo mbalimbali mfano Majukwaa ya elimu hasa Lugha, vitabu mbalimbali na Hata Kamusi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…