Mwana Chinchilla
Member
- Jan 5, 2011
- 25
- 3
Haswa, naona mtoa mada ndio ambaye hajitoshelezi. Yaani hajitambui, kwa hiyo bado hajakamilika na badala yake anaisingizia lugha. Kazi anayo!Kiswahili kinajitosheleza kabisa kama lugha nyengine yoyote,mataizo tuliokuwa nayo sisi watanzania kisawahili hatukijui na wengi wa Watanzania kiswahili ni lugha yao ya pili
mbalelo............... huyu ni ndama wa mbuzi ama mtoto wa mbuzi
Habar wana JF. Ulishawahi kujiuliza sifa za lugha Yoyote Maarufu Duniani? Au Ili lugha iweze kuwa Maarufu, wajua moja ya sifa!? Ntazungumzia KipengEle kimoja tu cha Kujitosheleza Kimsamiati na Maneno. Tuchukulie mfano wa Lugha kama Kiingereza. Wenzetu hawa neno Moja linakuwa na Mbadala wa Maneno mengine ya ziada. Wao huita "Synonyms" Mfano Happy/Joyful/Elated. Sasa basi shughuli inakuja kwenye Upande wa Kiswahili. Kama hata neno moja halipo hiyo synonym itAtoka Wapi!? Hivi ni kweli Lugha yetu inakosa Neno kwa ajili Mtoto wa Mbuzi!? Sasa ukiulizwa synonym ya Mtoto wa Mbuzi sijui itakuwaje kama hata hilo Neno Moja tu lenyewe halipo. Embu tuchangie hapa jamani. Jina halisi kwa kiswahil fasaha kwa ajili ya Mtoto wa Mbuzi kama ilivyo kwa Ndama.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Kiranga i cant you broda!Waja wasojaa wala kujua Kiswahili faradhi ya forodha, kukiiza hasara na halasa. Hawakikidhi hata sudusu ya msamiati sahala, seuze wa tambo la tembo mgida tembo.
Wabeza Kiswahili bila ku ree nyenzo korija ni kama watupa johari kwa utovu wa majadi.
Habar wana JF. Ulishawahi kujiuliza sifa za lugha Yoyote Maarufu Duniani? Au Ili lugha iweze kuwa Maarufu, wajua moja ya sifa!? Ntazungumzia KipengEle kimoja tu cha Kujitosheleza Kimsamiati na Maneno. Tuchukulie mfano wa Lugha kama Kiingereza. Wenzetu hawa neno Moja linakuwa na Mbadala wa Maneno mengine ya ziada. Wao huita "Synonyms" Mfano Happy/Joyful/Elated. Sasa basi shughuli inakuja kwenye Upande wa Kiswahili. Kama hata neno moja halipo hiyo synonym itAtoka Wapi!? Hivi ni kweli Lugha yetu inakosa Neno kwa ajili Mtoto wa Mbuzi!? Sasa ukiulizwa synonym ya Mtoto wa Mbuzi sijui itakuwaje kama hata hilo Neno Moja tu lenyewe halipo. Embu tuchangie hapa jamani. Jina halisi kwa kiswahil fasaha kwa ajili ya Mtoto wa Mbuzi kama ilivyo kwa Ndama.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
3. Wazungu husema "rice", lakini Waswahili hutofautisha kati ya "mpunga", "wali" na "mchele"
:high5:

Kijakazi una akili sana!
Mfano wako ni mzuri sana:
Acha niongezee mambo machache muhimu kuhusu lugha:
1.Kazi kuu ya lugha ni kuwasiliana sasa iwe Kiingereza kina maneno mengi na visawe chungu nzima, hiyo si hoja!
2. Wazungu hawatofautishi kati ya baba mdogo na mjomba, sisi Waswahili tunawazidi hapo. Wao husema "uncle" tu.
3. Wazungu husema "rice", lakini Waswahili hutofautisha kati ya "mpunga", "wali" na "mchele"
:high5:
Habar wana JF. Ulishawahi kujiuliza sifa za lugha Yoyote Maarufu Duniani? Au Ili lugha iweze kuwa Maarufu, wajua moja ya sifa!? Ntazungumzia KipengEle kimoja tu cha Kujitosheleza Kimsamiati na Maneno. Tuchukulie mfano wa Lugha kama Kiingereza. Wenzetu hawa neno Moja linakuwa na Mbadala wa Maneno mengine ya ziada. Wao huita "Synonyms" Mfano Happy/Joyful/Elated. Sasa basi shughuli inakuja kwenye Upande wa Kiswahili. Kama hata neno moja halipo hiyo synonym itAtoka Wapi!? Hivi ni kweli Lugha yetu inakosa Neno kwa ajili Mtoto wa Mbuzi!? Sasa ukiulizwa synonym ya Mtoto wa Mbuzi sijui itakuwaje kama hata hilo Neno Moja tu lenyewe halipo. Embu tuchangie hapa jamani. Jina halisi kwa kiswahil fasaha kwa ajili ya Mtoto wa Mbuzi kama ilivyo kwa Ndama.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mkuu Wilhard nakuheshimu lakini acha nitofautiane na wewe kwa hoja.
1.Lugha ya Kiingereza ina umri wa miaka karibu 1000. Hata katika umri huo Kiingereza kimekopa maneno kutoka lugha nyingi. Mifano:
a. Kiswahili: Kiingereza[English] kimekopa neno "safari" je, wajua hilo?
b. Kigiriki: maneno ya mengi ya Kiingereza yanayoanza na "photo" yanatoka kwenye Kigiriki. "Graphics" na mengine chungu nzima.
c.Alfabeti za Kiingereza zote zimetolewa katika lugha ya Kigiriki isipokuwa "Q" na "W", kwa sababu Kiingereza kina alfabeti 26 lakini katika alfabeti hizo 24 ni kutoka Kigiriki.
*Jambo la kukumbuka ni kwamba, lugha ni "Dynamic", siyo "Static", yaani lugha hubadilika kulingana na muda na umbali kutoka chanzo. Mfano Tanzania "dhambi" lakini Congo D.R, "zambi".
Jaribu kufanya utafiti kabla ya kuanza kushutumu. Je, wewe unajua Kiingereza kwa kiwango cha Mwingereza mwenyewe?
Mkuu Merick David, asante kwa kumsaidia ndugu yetu!:smile:
"Be bold, and mighty forces will come to your aid"