Maundumula JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 7,550 Reaction score 3,092 Jan 24, 2012 #1 Habari zenu waungwana, Naomba kuuliza je kipi kati ya sentensi zifuatazo ni fasaha 1)Safari ya mjomba imeahirishwa 2)Safari ya mjomba imeghairishwa 3)Safari ya mjomba imehairishwa
Habari zenu waungwana, Naomba kuuliza je kipi kati ya sentensi zifuatazo ni fasaha 1)Safari ya mjomba imeahirishwa 2)Safari ya mjomba imeghairishwa 3)Safari ya mjomba imehairishwa
Gaijin JF-Expert Member Joined Aug 21, 2007 Posts 11,812 Reaction score 5,303 Jan 24, 2012 #2 namba 1 na 2 ni fasaha
Freema Agyeman JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 3,666 Reaction score 3,533 Jan 24, 2012 #3 Gaijin said: namba 1 na 2 ni fasaha Click to expand... Kwa pwani sawa. Mwalimu wangu wa kiswahili toka bara alifudisha: kuahirishwa ina maana kitendo kitatekelezwa muda mwingine ujao. kughairi ina maana kubadili mawazo na kitendo kinaweza kisitelelezwe. kwa kimombo kuahirisha ni definitive ilhali kughairisha sipo.
Gaijin said: namba 1 na 2 ni fasaha Click to expand... Kwa pwani sawa. Mwalimu wangu wa kiswahili toka bara alifudisha: kuahirishwa ina maana kitendo kitatekelezwa muda mwingine ujao. kughairi ina maana kubadili mawazo na kitendo kinaweza kisitelelezwe. kwa kimombo kuahirisha ni definitive ilhali kughairisha sipo.
Maundumula JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 7,550 Reaction score 3,092 Jan 24, 2012 Thread starter #4 Freema Agyeman said: Kwa pwani sawa. Mwalimu wangu wa kiswahili toka bara alifudisha: kuahirishwa ina maana kitendo kitatekelezwa muda mwingine ujao. kughairi ina maana kubadili mawazo na kitendo kinaweza kisitelelezwe. kwa kimombo kuahirisha ni definitive ilhali kughairisha sipo. Click to expand... mmmm Kwahiyo ukighairi = umabadilisha mawazo Ukiahirisha = utafanya baadae?
Freema Agyeman said: Kwa pwani sawa. Mwalimu wangu wa kiswahili toka bara alifudisha: kuahirishwa ina maana kitendo kitatekelezwa muda mwingine ujao. kughairi ina maana kubadili mawazo na kitendo kinaweza kisitelelezwe. kwa kimombo kuahirisha ni definitive ilhali kughairisha sipo. Click to expand... mmmm Kwahiyo ukighairi = umabadilisha mawazo Ukiahirisha = utafanya baadae?
mtemiwaWandamba JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 561 Reaction score 223 Feb 5, 2012 #6 Sentensi ya kwanza ni sawa.
Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,735 Reaction score 7,010 Feb 11, 2012 #7 Ya kwanza
pepim JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 335 Reaction score 52 Feb 12, 2012 #8 Safari ya mjomba imeahirishwa ndio fasaha kabisa wala hakuna ubishi na anayetaka kubisha aandamane