Abubakar Abdallah
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 281
- 170
....jamani kile kiswahili cha kwenye kamusi mnakionaje?.....au kile cha kwenye simu za kichina....ni balaa,mi najua kuna sharubati yaani juis we unajua nin.....funguka hapo...
Kanguvuke generator....jamani kile kiswahili cha kwenye kamusi mnakionaje?.....au kile cha kwenye simu za kichina....ni balaa,mi najua kuna sharubati yaani juis we unajua nin.....funguka hapo...
Kanguvuke generator
Nishati jadidifu- renewable energy
Kawi- energy