lakini ametunyegesha hapo tuamke na kuibua yetu, wanasema if the only fruit you have is a lemon try to lemonade it and dont cry for an orange which you dont haveMkuu kiswahili bado sana katika misamiati ya kiteknolojia. kwa kifupi bado changamoto ni kubwa sana
afadhali umekiri kwamba huna uhakika!mpempeso na mshikiko( japo sina uhakika)
Duhu, ni aheri tu tuziite kopi kakamavu (hard copy) na kopi legelege (soft copy), apo itakuwa mchezo wote tumemaliza!Kwa uelewa wangu nnavojua mm ni Rudufu tepe na Rudufu ngumu(Ila kwenye hard copy sijapata kiswahili chake sanifu)
Nilipoona neno wajuvi nikaogopa kuchangia. AhsanteKaka,
Nachukua fursa hii kukutahadharisha kuwa neno wajuvi halina maana sawa na neno wajuzi
Wajuvi kwa Kiswahili sanifu lina maana mbaya kama ifuatavyo:
1. Watu wanaojifanya kujua kila kitu [neno muhimu ni "wanaojifanya. Kwa lugha nyengine "much know"]
2. Watu wajeuri, wajuba,
hiyo rudufu ngumu si ndio umemaanisha hard copy shehe?Kwa uelewa wangu nnavojua mm ni Rudufu tepe na Rudufu ngumu(Ila kwenye hard copy sijapata kiswahili chake sanifu)
usiogope mkuu, tukosoane, turekebishane ndio tuadhibianeNilipoona neno wajuvi nikaogopa kuchangia. Ahsante
Nilipoona neno wajuvi nikaogopa kuchangia. Ahsante
Nilipatwa na fadhaa kidogo mwili ukwa tutwee! bahti nzuri kauli yako ikaleta faraja na afueni.Nilipoona naambiwa kuwa "bado kuna muktadha hapo" baada ya kutoa maelezo ya mjuvi kwa mtoa mada, ikabidi nikae pembeni
Nilipatwa na fadhaa kidogo mwili ukwa tutwee! bahti nzuri kauli yako ikaleta faraja na afueni.
Yasemwa kuwa ni rudufu tepe na rudufu ngumu, ahli yetu Marwa akisema.
Nami nalitilia ubani maana rudufu ndiyo hiyo ikisema copy.
Mashallah ukiongeza tepe na ngumu haijambo, halijaharibika jambo.
Almaarufu Amavubi, nshakufahamu nasi tukuwia radhia marwiyatan, sote twajifunza na hakika hakuna mtimilifu ila maanani peke yake. Tuswemehe kwa sintofaham iliyojitokeza, ndio ndio ubinadam ivoo!
Kuntu!Wallah hapajaharibika neno, maana wakti mwengine kheri huwa mikononi mwa shari.
Na imependezayo machoni ni ile ghuri ya kutafuta ilmu na sio kutosarifika kwa yale uambiwayo.
Basi farijianeni kwa maneni hayo...........Nilipatwa na fadhaa kidogo mwili ukwa tutwee! bahti nzuri kauli yako ikaleta faraja na afueni.
Yasemwa kuwa ni rudufu tepe na rudufu ngumu, ahli yetu Marwa akisema.
Nami nalitilia ubani maana rudufu ndiyo hiyo ikisema copy.
Mashallah ukiongeza tepe na ngumu haijambo, halijaharibika jambo.
Almaarufu Amavubi, nshakufahamu nasi tukuwia radhia marwiyatan, sote twajifunza na hakika hakuna mtimilifu ila maanani peke yake. Tuswemehe kwa sintofaham iliyojitokeza, ndio ndio ubinadam ivoo!
Omonto unachosema ni sahihi kabisaa kwa sababu hata wataalamu wa lugha wanamaizi kuwa hakuna lugha iliyo bora kuliko nyingine, lugha yoyote ni bora kwa sababu inawawezesha wanayoitumia kuwasiliana! Kiswahili ni lugha inayojitosheleza katika nyanja zoote