Mi hapa ninabambika na kauganga na skunjee.Njeve 2 ndo mobb at least gafe na mandwang'a za soo rwabe zinasunda haka kaunenge far.Kabla ya kuswach,kumbuka ku-pray alafu morrow ni janta ngware...........phew!That's my sheng ya somethin like 4 yrs bak.Kuna words zozote brand new mnaeza ni-hook up nazo????M-dozz powa wazeiya!
Leo ni Friday,, ganji iliingia ngive jana, wasupa kwa ofisi wamedunga niaje, leo dundaa lazima na naona kabla watu wakue maji sana lazima nipate chips funga.