KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

Naomba kuwauliza mawakili wa serikali, kweli mlitoa ombi hilo in good faith kuzuia dhamana ya Lisu kwa vile atahatarisha maisha yake na ya jamii au mlikuwa na nia OVU. Kweli dhamira yenu ilikuwa inawasuta kulinda usalama wa Lisu na jamii kwa kuomba anyimwe dhamana? Jitafakari. Laana hii itawapata na kuwaandama watoto wenu.
 
Swali Lissu baada ya kusomewa mashitaka Mahakamani alikiri mashitaka yote,je Kama Lissu alifanya makosa katika yale alioshitakiwa nayo ni kwa nini hakuhukumiwa hapohapo kwa sababu alikiri makosa,Kama wanavyo hukumiwa watuhumiwa wa makosa mengine wanapo kiri mashitaka yao?.[/QUOTE

]

..kwa uelewa wangu amekiri kutamka hayo ambayo upande wa mashtaka umedai alitamka.

..huko siyo kukiri makosa.

..upande wa mashtaka/ccm unatakiwa sasa utumie vifungu vya sheria kuishawishi mahakama kwamba TL alivunja sheria.

..TL naye atapata wasaa wa kujitetea.

..baada ya hapo ndiyo hakimu atatoa uamuzi.
 
Jibu alilokupa limekufaa sana.Binadamu unayeabudu binadamu mwenzako
Hapana boss. Mimi naheshimu mamlaka halali iliyowekwa na wananchi kwa kura...nyinyi mnaabudu matajiri na mafisadi na wauza unga!
 
Back
Top Bottom