Kisutu Sekondari

Kisutu Sekondari

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092
423942_352724638141588_221165060_n.jpg
 
baada ya hapo watasikia maumivu ya kichwa. kama ni adhabu, sio nzuri.
 
Adhabu kwa wanafunzi ni muhimu sana, lakini siyo ya hivi
 
Ingekuwa enzi zileee, tungesema mwalimu aliyetoa adhabu hiyo inawezekana ametoka JKT hivi karibuni.
 
...chawa wamezidi, namna ya kujikuna nako kunabadilika!
 
Hapa mwalimu alikuwa na wazo zuri tu, unajua vijana wengi IQ zao zimehamia maeneo ya kusini hivyo alitaka akili yote iliyohamia maeneo hayo irudi kichwani. Bila shaka huo sio ule wakati walimu walipokuwa wamegoma. Tehetehetehetehetehete.
 
Back
Top Bottom