figganigga JF-Expert Member Oct 17, 2010 25,492 54,895 Jan 15, 2019 #1 Maofisa wanne wa TFDA wamepandishwa katika Mahakama ya Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kuisababishia hasara ya Shilingi 58 Milioni kwa kosa la kuidhinisha malipo mara mbili kwa wafanyakazi wa mamlaka hiyo
Maofisa wanne wa TFDA wamepandishwa katika Mahakama ya Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kuisababishia hasara ya Shilingi 58 Milioni kwa kosa la kuidhinisha malipo mara mbili kwa wafanyakazi wa mamlaka hiyo