Hivi Meltdown ya huko CYPRUS haigusi akauntiza wazee wa vijisenti ?
na huko Uswiss MUNGU saidia kinuke pia kama cyprus.
Hata huko Cyprus hakijanuka kwani bunge limekataa kupitisha sheria ya kutoza kodi akiba za watu zilizoko benki!! Kwahiyo vijisenti vya mafisadi vimepona kuyeyuka.