Habari MMU.
Katika maisha yetu haya ni dhahiri kabisa vifo vingi vipo kwenye ngono kwa sababu kwenye ngono ndipo kuliko na magonjwa hatari kabisa hasa UKIMWI na yale mengine ya zinaa kama syphilis, ghonoroea n.k.
Wahanga wakubwa ni hawa wanawake wanajiita visura yani warembo. Kwao shida no big NO kwani uzuri wao ni fursa tosha. Matokeo yake hawafanyi kazi wanategemea kuuza mwili ili wale vinono. Kwao starehe ndio furaha ya maisha yao kulingana na uziri wao... kamwe hawawezi kuishi maisha ya dhiki kwani ni mkosi na wanakua hawajautendea haki uzuri wao.
Ubaya zaidi huwa hawaolewe kwani hakuna mwanaume atakaeweza kuishi na mwanamke anaekitembeza for the sake of money na anasa za dunia "Wenyewe wanaita vinono/vitamu"
Wanawake wana namna hii ndio wanaoongoza kwa mauaji "Kutoa mimba" na mwisho wao ni maradhi na kifo cha mapema sana kwani MUNGU hawezi vumilia kuona watu wake wanakufa kwa magonjwa ya ngono na uuwaji wa vichanga.
Kwa tamaa za kimwili hudiriki kufanya madhambi makubwa ili watosheleza nafsi zao. Hutafuta pesa kwa nia zisizo za kihalali apart from kuuza uchi. Shuhuda ninazo ni bora niishie hapa ili wa kusikia na asikie na asietaka kusikia basi huo anajiandalia kaburi kwa nguvu zake zote na kukaangwa kwenye mafuta kama nyama inavyorostiwa milele "Au jehanamu kama inavyofahamika"
NB: Kwa wanawake wote wapenda anasa wanaodhani uzuri wao ni mtaji tosha nawashauri wakae watulie wajiajiri na kutafuta pesa kihalali. Wamuombe MUNGU awape wanaume bora wa maisha yao wenye nazo ili atleast kuwaridhisha kwani maisha ni magumu. Maisha ni kupanda na kushuka kwa dunia ya leo kamwe maisha hayawezi kuwa juu siku zote.
Enyi wanawake mnaokitembeza mkitaka kufurahia mema ya nchi kaeni chini mvitulize mridhike na hali zenu la sivyo israeli mtoa roho atawatwaa mapema sana na kama mnavyomjua hana huruma... Ikifika imefika.
Naomba sana awatoe kwenye huo ulimwengu mlioko kwani mmepotoka haswa.
MUNGU awe nanyi wote visura kuna maisha baada ya kuteleza.