Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Nimewaambia wakaanzishe uzi wa kushindana na iringa au arusha hukoo, Mwanza sio level yao
Mbona vipicha vile vile kila siku na vigorofa ni vile vile sasa nyie inabidi tuwapeleke kwa Iringa city hii platform sio size yenu.😠😠😠😠
 
sawa bass mkuu.. mwanza is the 'greatest' city in africa.. nadhani umefurahi sasa. coz kubishana na wewe ni kama kuipigia mbuzi guitar.

🙉🙉 olewangu,.. naona pia kizungu inakupiga chenga
Acha unafiki sisi sio wa kwanza Duniani ila hatutaki ujinga wenu wakuturinganisha na miji ya ajabu kutoka kenya mara mnatuletea sijui kisii, mara nakuru mara sijui kericho mara oh kisumu acheni ujinga.
 
Mbona vipicha vile vile kila siku na vigorofa ni vile vile sasa nyie inabidi tuwapeleke kwa Iringa city hii platform sio size yenu.😠😠😠😠
Kuna jipya Mwanza dogo?., mji ulio choka kishenzi utaambia nini watu., eti ni city na ni ya pili in Tanzania, hauoni ni aibu kwa taifa😝😂😂😂., Ningekua wewe ninge fyata, eti second best inafanana vile??., balaa., low levels, poor standards! Jaribu ku modernize kidogo., panua Barabara, jengeni proper and modern residential estates and infrastructure zingine, sio ushamba na umasikini a short drive from town! Mko ovyo nanii🤣😂
 
Kuna jipya Mwanza dogo?., mji ulio choka kishenzi utaambia nini watu., eti ni city na ni ya pili in Tanzania, hauoni ni aibu kwa taifa😝😂😂😂., Ningekua wewe ninge fyata, eti second best inafanana vile??., balaa., low levels, poor standards! Jaribu ku modernize kidogo., panua Barbara, jengeni proper and modern residential estates sio ushamba na umasikini a short drive from town! Mko ovyo nanii🤣😂
Acha ushamba kuna nchi gani duniani ambayo hakuna masikini??ukitaka kuzungumzia Mwanza city anza kwanza Nairobi city ambayo ina largest slums in the world kama Kibera,Dandora,Mathare n.k au Nairobi sio city??Mwanza ni habari nyingine ndo maana mlikuja na Mombasa city ikapigwa saiza mnaangaika mara Nakuru,mara Garicho,mara kisii yote hayo ni utumbo mtupu.Semeni imekuwa sucrifies kwenu hamkudhani kama Tanzania kuna majiji mazuri zaidi ya Dar es salaam.Watanzania ni wapole hatupendi misifa na kujipendekeza kama nyinyi Wakenya.Tanzania kuna miji mizuri sana kuliko hizo pumba zenu za kisii na Nakuru au kisumu,Kwanza kisumu haifikii Arusha hata nusu.Kuna miji kama iringa,Dodoma,Moshi,Shinyanga,Kahama na mbeya hizo Nakuru na kisii pamoja na kuangaika kuzipost hazifikii hizo miji hata kidogo.😂😂😂😂😂
 
muki pewa hizi barabara mtawezana!?.. usidhani hapa nairobi... nakuru tu eti,
nakuru1.jpg
nakuru04.jpg
 
Acha ushamba kuna nchi gani duniani ambayo hakuna masikini??ukitaka kuzungumzia Mwanza city anza kwanza Nairobi city ambayo ina largest slums in the world kama Kibera,Dandora,Mathare n.k au Nairobi sio city??Mwanza ni habari nyingine ndo maana mlikuja na Mombasa city ikapigwa saiza mnaangaika mara Nakuru,mara Garicho,mara kisii yote hayo ni utumbo mtupu.Semeni imekuwa sucrifies kwenu hamkudhani kama Tanzania kuna majiji mazuri zaidi ya Dar es salaam.Watanzania ni wapole hatupendi misifa na kujipendekeza kama nyinyi Wakenya.Tanzania kuna miji mizuri sana kuliko hizo pumba zenu za kisii na Nakuru au kisumu,Kwanza kisumu haifikii Arusha hata nusu.Kuna miji kama iringa,Dodoma,Moshi,Shinyanga,Kahama na mbeya hizo Nakuru na kisii pamoja na kuangaika kuzipost hazifikii hizo miji hata kidogo.😂😂😂😂😂
hebu rusheni hizo vijipicha za hizo miji tu compare ya nchi gani noma
 
nbi gdp alone of $70B.. is more than the whole of tz at $65B.. 😆😆😆🤔
That's why Nairobi ni Kenya huko kwengine kote ni chooni na bado Nairobi ni main shithole sababu hata state House hakuna tap water,state House suffers water shortage the same way dandora and mathare slums suffer

Nairobi ina GDP ya 70b Kenya nzima ina GDP ya 90b

And still Nairobi ni main shithole, what about the rest with that fraction of 20b 😂😂😂😂😂😂 ni Mungu anajua
 
acha ushoga ww...kenya gdp$120B (2021 est.)
 
That's why Nairobi ni Kenya huko kwengine kote ni chooni na bado Nairobi ni main shithole sababu hata state House hakuna tap water,state House suffers water shortage the same way dandora and mathare slums suffer

Nairobi ina GDP ya 70b Kenya nzima ina GDP ya 90b

And still Nairobi ni main shithole, what about the rest with that fraction of 20b 😂😂😂😂😂😂 ni Mungu anajua
Tanzania kuna nini? Dar ikiwa ushuzi 90% economy hafifu., mko ovyo hufai kuongea mbele ya hata mtu wa Kibera wewe., that's how low u are.
 
Acha ushamba kuna nchi gani duniani ambayo hakuna masikini??ukitaka kuzungumzia Mwanza city anza kwanza Nairobi city ambayo ina largest slums in the world kama Kibera,Dandora,Mathare n.k au Nairobi sio city??Mwanza ni habari nyingine ndo maana mlikuja na Mombasa city ikapigwa saiza mnaangaika mara Nakuru,mara Garicho,mara kisii yote hayo ni utumbo mtupu.Semeni imekuwa sucrifies kwenu hamkudhani kama Tanzania kuna majiji mazuri zaidi ya Dar es salaam.Watanzania ni wapole hatupendi misifa na kujipendekeza kama nyinyi Wakenya.Tanzania kuna miji mizuri sana kuliko hizo pumba zenu za kisii na Nakuru au kisumu,Kwanza kisumu haifikii Arusha hata nusu.Kuna miji kama iringa,Dodoma,Moshi,Shinyanga,Kahama na mbeya hizo Nakuru na kisii pamoja na kuangaika kuzipost hazifikii hizo miji hata kidogo.😂😂😂😂😂
Ni Kiswahili tu utanifunza, mengine ni kelele za vijiweni., asante kwa riwaya nzuri ulio andika👏👏👏., Tanzania ya viwonder!😲😜😂😂😂🤣.,
 
Flyovers wanaziona tu Dar😂😂😂🤣🤣.., six world country.
😂😂😂😂Nani alikwambia flyovers ndo maendeleo?!Kama flyovers ni maendeleo mbona Nairobi ina maflyovers kibao lakini watu wake wanaishi kwenye nyumba za mabati kama kuku au nguruwe huko kibera,mathare na Dandora.Ikitokea Mwanza mtu anaishi kwenye nyumba ya mabati lazima wananzengo tumchangie japo Mwanza hakuna flyover😂😂😂
 
Tanzania kuna nini? Dar ikiwa ushuzi 90% economy hafifu., mko ovyo hufai kuongea mbele ya hata mtu wa Kibera wewe., that's how low u are.
Pambaneni na kiu na njaa kwanza

State House hakuna maji na njaa pia ipo state House yenu ndio maana waarabu humpelekea Rais wenu msaada wa chakula statehouse

Statehouse yenu pia ni slum 😅😅😅
 
Back
Top Bottom