The great jay
JF-Expert Member
- Aug 8, 2017
- 635
- 673
Parrot hotel 13Hata Arusha bado haiezifikia Kisumu.
Ya majengo tumeimaliza kamma unapoint nyingine nikuambia au twende kwenye dual carriage arusha ina 14 km sakina tengeru afu kona nairobi ina 2 km zimepanuliwa bado kama kama 2 ziwe 4km eac road km 3 to be constructed mwaka huu n 8.1 km from tengeru tu usa and longest by pass n 42.1km and kuna kisongo by pass uc n 3+kmHata Arusha bado haiezifikia Kisumu.
Lazy witches can't feed Kenya. Tell me any foodstuff you export to Kenya in bulk apart from maize. Tell me anything you export apart from maize
OK, kesho piga picha ulete.Parrot hotel 13
Ngorongoro complex 15
Kaloleni nsssf complex11
Naura spring 10
Hugo plaza 11
Mafao house 12
Uhasibu 12
Five mb (opposite na sakina liko uc)13
Samunge (uc) 12
Opposite idara ya maji sijui jina 11
Stend apartments(silijua jina ila location n pembeni ya stendi kubwa) 11
Leopard hq kijenge A 10
Leopard hq twin B (kijenge) 10
Kuna commercial building karibia na sound city siijui jina ila iko (13)
Father babu pale kuna uc iko 10
Nmb soko kuu 11
Opposite na mount meru hospital uc 11
Mkuu nyingine sikumbuki ila izo nlizoandika sijui majina hata kesho ukitaka naweza enda piga picha site board kama ntapata muda afu kuna ambazo nimekosea counting ila n above 10
Ya majengo tumeimaliza kamma unapoint nyingine nikuambia au twende kwenye dual carriage arusha ina 14 km sakina tengeru afu kona nairobi ina 2 km zimepanuliwa bado kama kama 2 ziwe 4km eac road km 3 to be constructed mwaka huu n 8.1 km from tengeru tu usa and longest by pass n 42.1km and kuna kisongo by pass uc n 3+km
Izo n road ambazo hasiusishi mitaa izo n main road za kusave jiji sio mkoa and arusha kuna 10 traffic light
Apo ukipinga nipe km na name i wilal search in my own pia napenda fujo isiyoumiza ko mkuu tuende kwa fact basi
Arusha haiezani na KisumuYa majengo tumeimaliza kamma unapoint nyingine nikuambia au twende kwenye dual carriage arusha ina 14 km sakina tengeru afu kona nairobi ina 2 km zimepanuliwa bado kama kama 2 ziwe 4km eac road km 3 to be constructed mwaka huu n 8.1 km from tengeru tu usa and longest by pass n 42.1km and kuna kisongo by pass uc n 3+km
Izo n road ambazo hasiusishi mitaa izo n main road za kusave jiji sio mkoa and arusha kuna 10 traffic light
Apo ukipinga nipe km na name i wilal search in my own pia napenda fujo isiyoumiza ko mkuu tuende kwa fact basi
Ungeleta facts kwamba in kisumu tuna dual carriage km kazaa by passes kazaa coz hizo ndio road muhimu kwa jiji pia ungeniambia luna traffic light ngapi ili kuonesha traffic ya magari sio maneno tu njoo na fact mkuuArusha haiezani na Kisumu
Ungeleta facts kwamba in kisumu tuna dual carriage km kazaa by passes kazaa coz hizo ndio road muhimu kwa jiji pia ungeniambia luna traffic light ngapi ili kuonesha traffic ya magari sio maneno tu njoo na fact mkuu
Kuna mtu alisema mombassa ndio ina trails nbo so come with facts and kmI think kwa mambo ya barabara you should not talk because Kisumu only trails Nairobi in quality of roads in all of EA.
Traffic light wana moja tena waliweka mwaka huu [emoji23][emoji23][emoji23]
Tukitoka kwenye road twende kwenye hotels afu tutamalizia na usafi kwa ujumla tutaishia apo kwa leo
Nimemletea fact za road naona anakimbilia kusema sijui wana trail bado namsubiria alete majibu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa fact hawachomoki arusha au mwanza huwexi shindanisha na kisumu ukienda kwa factHapa nimependa unavyo mbananisha [emoji23][emoji23][emoji23] yaani tena aende hatua kwa hatua bila kuruka kitu,
Wamezoea kujifungia kibera.
Kakimbia sijui atarudi saa ngapiHapo najua ukimbana anatoka nje ya mada [emoji23][emoji23][emoji23]
Kakimbua sijui atarudi saa ngapi
OK, here are the dual carriageways in Kisumu.Ungeleta facts kwamba in kisumu tuna dual carriage km kazaa by passes kazaa coz hizo ndio road muhimu kwa jiji pia ungeniambia luna traffic light ngapi ili kuonesha traffic ya magari sio maneno tu njoo na fact mkuu
Wacha kujidanganya bro. Kisumu iko ligi yake. Hizo Mwanza na Arusha zenu haziwezani na class ya Kisumu.Ungeleta facts kwamba in kisumu tuna dual carriage km kazaa by passes kazaa coz hizo ndio road muhimu kwa jiji pia ungeniambia luna traffic light ngapi ili kuonesha traffic ya magari sio maneno tu njoo na fact mkuu