Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,779
Wakuu wa nchini naomba kuuliza hivi, hivi kuna mtu ambaye ameshawahi kutumia Dawa za asili na kupona huu ugonjwa ,please kama yupo naomba tuwasiliane please. Maana nimezunguka kwa watoa huduma ya tiba asili bila mafanikio ,ukienda hospital wanasema hamna Dawa ya kisukari ila ipo ya Kushusha kisukari kidogo tuu ,msaada please nimeshakula karibia kilo 45 za miti shamba bila kupata nafuu hata kidogo aise,