Kisukari type 1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kisukari type 1

Discussion in 'JF Doctor' started by The only, Jul 24, 2012.

 1. The only

  The only JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  salam waungwana.mimi baba yangu anakisukari na kimemtesa sana mwanzo nilihakikisha anafuata masharti ,kikaendelea badae madaktari wakashauri atumie sindano insulin akapata ahueni ,katikuhangaika nikaambiwa nitumie herbalist clinic nimezunguka weee wapi ,ndo nimerelize type 1 wanasema haitibiki ni kufata masharti na kuchoma insulin hadi kufa ,nipeni ushauri nifanyeje hata india ka wanaweza nampeleka
   
 2. M

  Mkirindi JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 965
  Trophy Points: 280
  I am diabetic type 2, as far as i know there is no cure, ila ni lazima kufatilia miko. wanasema ujerumani kuna clininc which uses born marrow or wengu transplating which is not recommended by Doctors.
   
 3. The only

  The only JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  maskini mm nimekosa solution
   
Loading...