Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,857
Karibu sana mkuu, nadhani kuondolewa kwa hilo jukwaa ambalo hata mimi silijui ni mojawapo ya hatua za kupambana na Corona hapa jamvini
Hahahahaa, tatizo mnakataza konekshenilipo bwana acha kunitisha. hahahahahahahahah
Nimekuja dada mgeni nimeshampokea tayari
Aliadimika sana huyu mgeni mwenyeji. 😀Nimekuja dada mgeni nimeshampokea tayari
Atatueleza alikuwa wapi kwa kipindi chote hichiAliadimika sana huyu mgeni mwenyeji.
Kwa kweli. Mana nakumbuka kuna mtu alianzisha mpaka uzi kumsaka lakini ikawa hola.Atatueleza alikuwa wapi kwa kipindi chote hichi
Hahah ndo naingia muda huu dadaKwa kweli. Mana nakumbuka kuna mtu alianzisha mpaka uzi kumsaka lakini ikawa hola.