Kiss (Busu)

Kiss (Busu)

kingofyou

Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
52
Reaction score
15
:A S angel😀ENDA NA FAIDA ZAKE:A S angel:

Hebu tujadili faida za denda katika mahusiano ili waliokuwa hawajui, watambue faida zake.
maana wengi wanaona uchafu yaani hawaeleweki.
 
Yakufunga macho na yakuangalia ladha tofauti, unataka ipi?
 
Haina faida zaidi ya kuiga tamaduni zisizo na kichwa wala miguu.
 
ukiwa katika tendo letu lileeee,

ebwana ukawa unanyonya.... mbona unakuwa Dunia ile ya Mahabba iliyokamilika.
 
Faida ya denda kwanza midomo iwe misafi ndio utajua utamu na raha ya denda but ikiwa inanuka mmmh!!!! karaha...
 
images
images
 
Back
Top Bottom