Sio siri Tangu nianze kujihusisha na mambo haya ya Mapenzi najipongeza kwa kuwa na Kismati kweli, Yaani kila ninapokanyaga Demu WA KISHUA mwenzangu au Mfanyakazi Wa Benki au Mfanyabiashara, lakni tatizo langu hawa wanawake nikishakaa nao muda mrefu huwa nawachoka na kuwatema kama Dagaa vle huku nikiwaachia majeraha Makubwa sana ya Mapenzi, Ivi inatoka na nini Kuwakinai wanawake? ni mimi au na nyie wenzangu pia?
duh! Naona wadau mmenibadilikia, sikuwa na nia mbaya lakini ni kuomba ushauri kwa kupotoka kwangu, yaani natafuta Mke nioe na nitulie nae kabisa baada ya kutangata. Natumaini mmenipata Wakubwa Zangu, kama kuna Dada yeyote anayehitaji 2we wapenzi anaweza akaniPM. Nawasilisha
duh! Naona wadau mmenibadilikia, sikuwa na nia mbaya lakini ni kuomba ushauri kwa kupotoka kwangu, yaani natafuta Mke nioe na nitulie nae kabisa baada ya kutangata. Natumaini mmenipata Wakubwa Zangu, kama kuna Dada yeyote anayehitaji 2we wapenzi anaweza akaniPM. Nawasilisha
Nadhani una tatizo la kisaikologia na umalaya uliokisili,inabidi upate wataalamu wa ushauri nasaha na pia upate maombezi ya muumba wa mbingu na nchi!Hivi umalaya wako ni wa kurisi au ni wewe tu katika ukoo wenu ndiyo una tatizo hili?
.... Ivi inatoka na nini Kuwakinai wanawake? ni mimi au na nyie wenzangu pia?
Mkuu habari za BAKITA?Kumbuka kuna mtu anaomba ushauri,ushauri wako ni nini kwenye hili?Aisee kuna watu huwa wanatatizo la kutamka herufi au maneno yenye S kwa kusema "th" ila wewe kiboko!upo kinyume chake
Very very wrong target, Jaribu FB, Jicho la mvulana liko fasta.......,Univrsal Tz Jokes, etc.....huku umeingia choo cha kikeduh! Naona wadau mmenibadilikia, sikuwa na nia mbaya lakini ni kuomba ushauri kwa kupotoka kwangu, yaani natafuta Mke nioe na nitulie nae kabisa baada ya kutangata. Natumaini mmenipata Wakubwa Zangu, kama kuna Dada yeyote anayehitaji 2we wapenzi anaweza akaniPM. Nawasilisha