Ndugu wana JF. Naomba mnijuze kuhusu kisiwa cha MAFIA kilichopo Tanzania. Je jina hilo (MAFIA) limetokana na kile kikundi cha kigaidi kilichopo nchini Italy? Maana nijuavyo mimi MAFIA ni kikundi cha kimataifa cha wahalifu kilichoasisiwa nchini ITALY kinachofanya maovu mbalimbali duniani yaani it is an organized international body of criminals originating in Sicily (ITALY) and having a compex and ruthless behavioral code.Je magaidi hao hujificha kwa siri kule kisiwani? Je ni nani aliyekibatiza kisiwa cha MAFIA kilichoko Tanzania jina hilo, lini na kwa sababu gani? . Wataalam wa HISTORIA naomba mnijuze tafadhali.

Vipi una mdogo wa kike?Mafia = maana yake Maji yapo....!
Sasa kimeficha siri au unauliza swali?
Vijana wa Bavicha akili zenu kweli moja na robo!
Nashindwa kuelewa uliweza vp kufahamu historia ya Mafia wa Italia ukashindwa kufahamu historia ya kisiwa kilicho karibu sana na nchi unayoishi! Haya ndio matatizo ya elimu za kubabaisha yaani unakuwa mgeni katika mazingira yako mwenyewe..
kumbuka pia kuwa kisiwa cha mafia kilikuwepo kabla hata hilo kundi la huko italy halijaanzishwa.kwa hiyo kama kuiga basi ni waitaliano ndo waliiga hilo jina na sio hicho kisiwa kilichukua jina lao
Ndugu wana JF. Naomba mnijuze kuhusu kisiwa cha MAFIA kilichopo Tanzania. Je jina hilo (MAFIA) limetokana na kile kikundi cha kigaidi kilichopo nchini Italy? Maana nijuavyo mimi MAFIA ni kikundi cha kimataifa cha wahalifu kilichoasisiwa nchini ITALY kinachofanya maovu mbalimbali duniani yaani it is an organized international body of criminals originating in Sicily (ITALY) and having a compex and ruthless behavioral code.Je magaidi hao hujificha kwa siri kule kisiwani? Je ni nani aliyekibatiza kisiwa cha MAFIA kilichoko Tanzania jina hilo, lini na kwa sababu gani? . Wataalam wa HISTORIA naomba mnijuze tafadhali.
Mafia kirefu chake ni
machizi
ambao
fani
imelala
asilia
hii ni kwa mujibu wa albert mangwair feat jaymoe kwenye wimbo wa m.a.f.i.a.uliotengenezwa na producer bora zaid kuwahi kutokea duniani p.funky majani mdachi. A.k.a mkono wa mungu.
'npo around'
Hata ww ulipata division 5. Hiki kisiwa ni sehemu ya Tanzania. Unaposema kisiwa kilicho karibu sn na nchi yako una maanisha nn?Nashindwa kuelewa uliweza vp kufahamu historia ya Mafia wa Italia ukashindwa kufahamu historia ya kisiwa kilicho karibu sana na nchi unayoishi! Haya ndio matatizo ya elimu za kubabaisha yaani unakuwa mgeni katika mazingira yako mwenyewe..
Dah! Umenikumbusha enzi zileeeeee za dhw; usahau??!!! Mafia full raha, na-miss pweza na ngisi aisee, ngoja nifunge safari!Huko ni Home kwa Mvuvi maarufu NasDaz
Ndugu wana JF. Naomba mnijuze kuhusu kisiwa cha MAFIA kilichopo Tanzania. Je jina hilo (MAFIA) limetokana na kile kikundi cha kigaidi kilichopo nchini Italy? Maana nijuavyo mimi MAFIA ni kikundi cha kimataifa cha wahalifu kilichoasisiwa nchini ITALY kinachofanya maovu mbalimbali duniani yaani it is an organized international body of criminals originating in Sicily (ITALY) and having a compex and ruthless behavioral code.Je magaidi hao hujificha kwa siri kule kisiwani? Je ni nani aliyekibatiza kisiwa cha MAFIA kilichoko Tanzania jina hilo, lini na kwa sababu gani? . Wataalam wa HISTORIA naomba mnijuze tafadhali.
Kama huyu ni bavicha hata Mimi nakuunga mkonoSasa kimeficha siri au unauliza swali?