isaya mwasetuka
Senior Member
- Feb 17, 2013
- 101
- 23
- Thread starter
- #21
Sawa kabisa na ningekubaliana na maelezo yako kama mtoa mada angesema shimo lililochimbwa lilikuwa fupi mithili ya kaburi na bado jamaa wakufa kwa kuvuta hewa hiyo.
Mtoa mada hajasema kuwa kulikuwa na harufu ya yai bovu sehemu hiyo.
Uzuri wa hydrogen sulfide ni kwamba inakupa warning kwa harufu yake, na mtu unaweza kujiokoa baada ya kuvuta hewa hiyo.
Kijijini kwangu(huko wilaya ya Rungwe) gesi huwa inatoka freely kama mita mia mbili toka sehemu ilipo nyumba yetu na wanakijiji kwa miaka mingi tu wamejifunza madhara yake na kuchukua tahadhari.
Nasisitiza kuwa , kisima kilikuwa kirefu na hao jamaa wa mekuga kwa kukosa oxygen-matukio ambayo ni kawaida kabisa kwa mtu ambaye hajawahi kuchimba shimo refu.
jaman urefu wa shimo n kama mta 10 hv