Kishindo: Kongamano la miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika ni leo, Kinondoni yazizima

Kongamano la miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika linafanyika muda huu kwenye Makao Makuu ya Chadema , Kinondoni Dar es Salaam , Taarifa zinaonyesha kwamba watu wote maarufu na wanaoheshimika nchini Tanzania , wale ambao ni wapinga dhuluma watatoa mada...
Nimeona leo vijana na wanafunzi vyuo vikuu wamejaaa tele. Wametema madini tupu.
 
09 December 2021
Makao Makuu ya CHADEMA
Kinondoni, Dar es Salaam
Tanzania

Kongamano la miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika ni Leo​



Kongamano la Katiba linaloandaliwa na Baraza la vijana Chadema BAVICHA linafanyika makao makuu ya chama cha CHADEMA , Kinondoni jijini Dar es Salaam Tanzania

Source : MwanaHALISI TV

nilikuwa hapa leo. Mambo mazuri sama. Makongamano kama haya yana effect nzuri kwenye jamii zetu.
 
Back
Top Bottom