Kishindo cha Lissu kimepeperushwa na msiba wa Mkapa, sio habari tena

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Wana JF,

Kwenye habari habari kuu hupewa kipaumbele na kufanya zingine ziwe za ziada tu. Jamaa alijiandaa sana akatangaza kushuka na kishindo cha watu kujaa JKNIA na sasa imeota mbawa kila kona kila media ni msiba wa Mkapa tu.

Wana Chadema wapo bize na msiba huu mzito kuliko ishu ya Lissu na siku akifika uwanja wa ndege utakuwa bize kupokea wageni wanakuja kwenye msiba ambao wengi ni viongozi wakuu wa nchi mbalimbali, so ulinzi utakuwa mkubwa na wa kiwango cha kutokuwepo mahekaheka ya kibavicha pale uwanjani, hivyo hakuna mtu atakuwa bize na siasa watu watakuwa bize na msiba tu.

Zimegangazwa siku tatu za kuaga pale uwanja wa uhuru media zote na akili za Watanzania zitakuwa pale sio kwa Lissu.

My take: Lissu ameanza vibaya na ni bora akahairisha tu hakuna namna.

USSR
 
USSR,

Kama Kuna viongozi wakuu watakuja sidhani kama watakuwa hata 2 au 3. Museveni anachukua zake tahadhari maana umri ushamtupa mkono. Same to Kagame. Labda kenyata ingawa nae sidhani sana.

Kusini mwa Afrika mtegemeeni Mnagangwa tu ingawa nae sidhani kama ataweza kusafiri.

Mwisho mazishi ni jumatano, kama viongozi kuja wengi hata ikitokea watakuja Jumanne. Ingawa pia sidhani kama vyombo vyuo vya usalama vitawashauri kuja as long as Tanzania imewekewa red alert kwenye Corona.

Lissu tutampokea kishujaa na Mkapa tutamuomboleza.
 
Kwa hiyo ni kama ufuatavyo;
1. Unashukuru na kushangilia kifo cha rais Mkapa kwa 'kuzima' habari za Lissu.

2. Unakiri ni kweli taarifa za Lissu zilikuwa ni tishio kabla ya kifo cha rais Mkapa
Lumumba hawana akili ndugu yangu. Wakiambiwa wamemuua mzee mkapa wazime kishindo cha Lissu watagoma.

Mashetani hawa.
 
Hili pumbav linashangilia msiba wa Mkapa!
Muonee huruma ndugu yangu. Lumumba wanechanganyikiwa na Lissu hawajui washike lipi na waache lipi .

Mbaya zaidi wakifikiria kuwa wapwa tunaenda kufanya yaliyofanyika Malawi hapa Tanzania kwenye uchaguzi huu ndo hawana hamu kabisa
 
Wana JF,

Kwenye habari habari kuu hupewa kipaumbele na kufanya zingine ziwe za ziada tu. Jamaa alijiandaa sana akatangaza kushuka na kishindo cha watu kujaa JKNIA na sasa imeota mbawa kila kona kila media ni msiba wa Mkapa tu.

Wana Chadema wapo bize na msiba huu mzito kuliko ishu ya Lissu na siku akifika uwanja wa ndege utakuwa bize kupokea wageni wanakuja kwenye msiba ambao wengi ni viongozi wakuu wa nchi mbalimbali, so ulinzi utakuwa mkubwa na wa kiwango cha kutokuwepo mahekaheka ya kibavicha pale uwanjani, hivyo hakuna mtu atakuwa bize na siasa watu watakuwa bize na msiba tu.

Zimegangazwa siku tatu za kuaga pale uwanja wa uhuru media zote na akili za Watanzania zitakuwa pale sio kwa Lissu.

My take: Lissu ameanza vibaya na ni bora akahairisha tu hakuna namna.

USSR
Kwahiyo umefurahi?
 
Pole yake
 
Unaweweseka,kuandika kwenyewe hujui,eti msiba yaani unafurahia kifo cha mtu kufunika ujio wa mtu,

Kweli vijana wa Lumumba buku 7 zimewafyatua akili,uzi wa hovyo sana kuwahi kutokea.
 
Wana JF,

Kwenye habari habari kuu hupewa kipaumbele na kufanya zingine ziwe za ziada tu. Jamaa alijiandaa sana akatangaza kushuka na kishindo cha watu kujaa JKNIA na sasa imeota mbawa kila kona kila media ni msiba wa Mkapa tu.

Wana Chadema wapo bize na msiba huu mzito kuliko ishu ya Lissu na siku akifika uwanja wa ndege utakuwa bize kupokea wageni wanakuja kwenye msiba ambao wengi ni viongozi wakuu wa nchi mbalimbali, so ulinzi utakuwa mkubwa na wa kiwango cha kutokuwepo mahekaheka ya kibavicha pale uwanjani, hivyo hakuna mtu atakuwa bize na siasa watu watakuwa bize na msiba tu.

Zimegangazwa siku tatu za kuaga pale uwanja wa uhuru media zote na akili za Watanzania zitakuwa pale sio kwa Lissu.

My take: Lissu ameanza vibaya na ni bora akahairisha tu hakuna namna.

USSR
Hesabu za jiwe zimeishafeli
 
Mkuu mbona ni kama unatumia msiba wa mzee kwa sabau za kisiasa sawa na wao wanavotumia kushambuliwa kwake kujitangaza kisiasa!
 
Wana JF,

Kwenye habari habari kuu hupewa kipaumbele na kufanya zingine ziwe za ziada tu. Jamaa alijiandaa sana akatangaza kushuka na kishindo cha watu kujaa JKNIA na sasa imeota mbawa kila kona kila media ni msiba wa Mkapa tu.

Wana Chadema wapo bize na msiba huu mzito kuliko ishu ya Lissu na siku akifika uwanja wa ndege utakuwa bize kupokea wageni wanakuja kwenye msiba ambao wengi ni viongozi wakuu wa nchi mbalimbali, so ulinzi utakuwa mkubwa na wa kiwango cha kutokuwepo mahekaheka ya kibavicha pale uwanjani, hivyo hakuna mtu atakuwa bize na siasa watu watakuwa bize na msiba tu.

Zimegangazwa siku tatu za kuaga pale uwanja wa uhuru media zote na akili za Watanzania zitakuwa pale sio kwa Lissu.

My take: Lissu ameanza vibaya na ni bora akahairisha tu hakuna namna.

USSR

Ni lini hao wanacdm walipata covarage za hizo media? Kimsingi Mkapa ni popular kuliko huo ujio wa Lisu, lakini hilo halizuii Lisu kurudi, maana harudi ili kuzima coverage ya msiba wa kada wa ccm, aliyewahi kuwa rais wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom